Vichwa vya magazeti kesho

Head teacher

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
1,796
411
nadhani magazeti kesho yataandikwa hivi

uhuru: WAZIRI MKUU- WATUMISHI PANDENI MITI
JAMBO LEO: CHADEMA WAZUA VURUGU KWENYE KUHESABU YA KURA. mabomu yarindima
una magazeti mengine.......
 
Tanzania Daima, CHADEMA YAFANYA KUFURU MBEYA, MWANZA NA ARUMERU.
CCM HOI YATUMIA POLISI KUBADILI MATOKEO
HABARI LEO; CHADEMA WALETA VURUGU ARUMERU, CCM WAONGOZA MPAKA SASA
MWANANCHI; CHADEMA YAITEKA ARUMERU, VIONGOZI WA CCM WAKIMBIA ARUMERU
POLISI WATUMIA MOBOMU NA MAJI YA KUWASHA KUTAWANYA WANANCHI
 
TBC1: Mchuano mkali bado waendelea Arumeru mashariki, CCM inaongoza CDM yaifuata kwa karibu, chochote chaweza tokea
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Mwananchi: Daudi Amshinda Goliati Arumeru Tanzania Daima: Chadema yaibwaga CCM Mzalendo: Mpango wa Mkukuta kuinua Uchumi Kilindi Habari Leo: JK kuzindua kampeni ya Damu Salama
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
RISASI: SIOI SUMARI ASUBIRIA MATOKEO GEST NA BAAMED
-Amsahau mtoto wa EL
SANI: MWIGULU AMKUWADIA SIOI SIKU YA UCHAGUZI.
tuendelee kuperuzi magazeti yetu ya kesho
 
kuna gazeti la
KIU: MWIGULU AKWAPUA TENA MKE WA MTU KUJIPOOZA NA MACHUNGU... WANANCHI WAMJIA JUU
AMANI; SIZITAKI MBICHI HIZI AJISEMEA MKAPA NI BAADA YA MAJI KUMFIKA SHINGONI afu namaliza na
IJUMAA: WAKAMATWA WAKIZINI NDANI YA CHUMBA CHA KUPIGIA KURA. Yumo wakala maarufu aliyeteuliwa na CCM
 
bado magazeti ya michezo MWANASPOTI; CHADEMA kama SIMBA yawachinja CCM kama waarabu!!
CHAMPIONI: NASSARI kama MESSI.
DIMBA: LUSINDE awaletea Wa Tz U ballotel Arumeru

Kesho magazeti yote siasa
 
Back
Top Bottom