Vichwa vya magazeti kesho

Uhuru: Lubuva asema nasary hajatimiza miaka 18 tume kumwekea pingamizi.
Jambo leo: Chopa isitumike kuombea kura si njia rasmi ya kuombea kura, tume yalalamika, kutumika mpaka ccm itoe kibali maalum.
 
Nimecheka hadi mbavu zinauma.

kuna gazeti la
KIU: MWIGULU AKWAPUA TENA MKE WA MTU KUJIPOOZA NA MACHUNGU... WANANCHI WAMJIA JUU
AMANI; SIZITAKI MBICHI HIZI AJISEMEA MKAPA NI BAADA YA MAJI KUMFIKA SHINGONI afu namaliza na
IJUMAA: WAKAMATWA WAKIZINI NDANI YA CHUMBA CHA KUPIGIA KURA. Yumo wakala maarufu aliyeteuliwa na CCM
 
Uhuru:mbinu za chadema kuiba kura zagundulika!

Mwananchi: chadema yaongoza,arumeru yazizima

The citizen: it is a new dawn in Arumeru,light at the end of the tunnel for chadema and Nassari
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
vipi status za watu kwenye fb na twitter kesho..... vipi blogs kesho zitaandikaje?
 
@ Smiling Saint=> JF UDAKU: Mwanakijiji akwepa mitego ya Warembo wa Naura S. na vitisho vya Polish wa USA alivyoandaliwa,
asimamia ukweli na haki kutangaza matokeo ya Ubunge wa Arumeru mashariki
 
UHURU - CCM Yamchagua Lusinde kuwa Katibu Mwenezi wa Matusi, Mkapa kuwa Naibu wake.
Jambo Leo - Sioi Afurahia kushindwa kwake ubunge. Asema Ufisadi Sio Matakwa ya Wananchi.
 
Mwanahalisi jumatano litakuwa hivi,ARUMERU MASHARIKI WAYAKATAA MATUSI YA CCM,WAZIKUBALI SERA ZA CHADEMA.Huku Raia mwema likisema WASSIRA,LUSINDE NA MWIGULU MCHEMBA CHANZO CHA CCM KUSHINDWA ARUMERU.
 
Uhuru: Cdm yahujumu matokeo,sioi kuyapinga mahakamani
MWANAHALISI: NGUVU YA UMMA YAISAMBARATISHA CCM ARUMERU
 
SANI: Lusinde atamba "Wametshinda, tumewashinda kwa matusi - kudadadeeeek!"
 
Tbc chadema yaiba kura zaidi ya 12000
uhuru ccm yahujumiwa
tanzania daima mkapa lowasa sioi nape waumbuliwa arumeru chadema yaibuka mshindi
mwana halisi ukombozi waanza arumeru
raia mwema, arumeru ya chafuka chadema wachukua ushundi
 
Mwananchi ' Amesema haolewi mbona kaolewa haya wee mbona kaolewa mbona kaolewa'
 
Kipanya:

Kudadadeeek!.png
 
RISASI: SIOI SUMARI ASUBIRIA MATOKEO GEST NA BAAMED
-Amsahau mtoto wa EL
SANI: MWIGULU AMKUWADIA SIOI SIKU YA UCHAGUZI.
tuendelee kuperuzi magazeti yetu ya kesho

I liked this, jamani matokeo rasmi bado? Nimekosa usingizi kabisa
 
Back
Top Bottom