Elections 2010 Vichwa vya habari vya Raia Mwema na Mwanahalis

Rugemeleza

JF-Expert Member
Oct 26, 2009
668
136
Ndugu zangu
Naomba mtumegee kwa ufupi vichwa vya habari vya magazeti haya ili nasi tulio nje tuweze kujua nini kimeandikwa nayo.
Asanteni sana.
 
Hizo issues ni za magazeti ya last week:

Ya leo ni:

Mwanahalisi: 1. Wizi wa kura wanukia 2. Dk slaa aongoza kura za maoni (kwa wasomaji wa magazeti ya mitandao 3. Muafaka sasa Maalim Seif kuongoza Zanzibar

Raia Mwema: 1. Mbivu na mbichi kuwa jumapili 2, Dk Slaa afunga kazi 3. Kikwete aenda kufuta nyayo Mwanza
 
Waaapi baba, la kuvunda halina ubani! CCM wananuka na matangazo na Tshirt zao! Watanzania wameamka, enzi za kudangnywa na Tshirt na pilau zimekwisha. Hata wapandishe watu kwenye ndege kwenda kwenye mikutano yao haitasaidia. suala sasa ni kulnda kura! hakuna kuondoka kwenye vituo, hakuna kwenda kujisaidia, nendeni na tochi kwa wingi ili wakizaima umeme nyie mumulike, msile au kunywa cha kupewa, tia sahihi karatasi ya matokeo baada ya kuisoma vizuri, usiogope kuwepo kwa mgambo au polisi, tangazeni matokeo ya kila kituo mara baada ya kuridhika nayo, jiandaaeni kwa maandamano kama matokeo yatabadilishwa, pelekeni mawakala wa kutosha kila kituo, n.k.
 
Asante natumai watayaweka kwenye tovuti zao hapo kesho kwani nadhani yote yamekwisha nunuliwa huko mitaani.
 
Waaapi baba, la kuvunda halina ubani! CCM wananuka na matangazo na Tshirt zao! Watanzania wameamka, enzi za kudangnywa na Tshirt na pilau zimekwisha. Hata wapandishe watu kwenye ndege kwenda kwenye mikutano yao haitasaidia. suala sasa ni kulnda kura! hakuna kuondoka kwenye vituo, hakuna kwenda kujisaidia, nendeni na tochi kwa wingi ili wakizaima umeme nyie mumulike, msile au kunywa cha kupewa, tia sahihi karatasi ya matokeo baada ya kuisoma vizuri, usiogope kuwepo kwa mgambo au polisi, tangazeni matokeo ya kila kituo mara baada ya kuridhika nayo, jiandaaeni kwa maandamano kama matokeo yatabadilishwa, pelekeni mawakala wa kutosha kila kituo, n.k.
Mawazo mazuri. Lazima mawakala na wananchi waende na tochi katika vituo kwani CCM na wasimamizi watazima umeme ili kuweza kufanya faulo.
 
Back
Top Bottom