DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
Nimeitafakari hii kauli aliyoitoa meneja wa kampeni hapa East Meru ambaye ni mbunge wa Musoma mjini mh. Vincent Nyerere kuwa ktk teuzi za magamba haijapata tokea polisi mstaafu akapewa ukuu wa wilaya ama ukuu wa mkoa kama walivyo wenzao wa JWTZ.
Na hata wanaojitokeza kuomba ubunge wanapigwa mbaya mno mfano Tibaigana.
Wanajamvi mwenye kumbukumbu ya IGP ama RPC aliyepewa post kisiasa atuwekee hapa.
Na hata wanaojitokeza kuomba ubunge wanapigwa mbaya mno mfano Tibaigana.
Wanajamvi mwenye kumbukumbu ya IGP ama RPC aliyepewa post kisiasa atuwekee hapa.