Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,596
Kuelewa ni ngumu sana yy amesema mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya.
DALAI LAMA said:Nimeitafakari hii kauli aliyoitoa meneja wa kampeni hapa east meru ambaye ni mbunge wa musoma vihsent nyerere kuwa ktk teuzi za magamba haijapata tokea polisi mstaafu akapewa u Rc ama U dc kama walivyo wenzao wa Jwtz.Na hata wanaojitokeza kuomba ubunge wanapigwa mbaya mno mfano Tibaigana.wanajamvi mwenye kumbukumbu ya IGP ama RPC aliyepewa post kisiasa atuwekee hapa..
Inawezekana ulisoma yanayokupendeza au hukumalizia, kuhusu IGP ama RPC, ndiyo maana nikasema incase akita basi nataja in advance, sasa naanza kukuelewa uliposema "kuelewa ni ngumu", ni kipi ambacho hujanielewa