Vicent amlipua Tendwa, Mkapa aomba suluhu

nadhani uelewa wa huyu vicent ni mdogo sana,ndo maana anatueleza mambo ya msiba wa baba wa taifa kitu ambacho hakina hata maana kwa watanzania kwa kuwa amechelewa kutueleza mambo haya leo ni zaidi ya miaka kumi tangu afariki baba wa taifa

hujui maana ya 'time will tell'. Kila mtu ana siri zake moyoni na kuna wakati zinatoka. Monica Lewinsky aliweka siri na mwisho alitoa
 
Mh kwa hiyo na Mkuu wa Kaya anaweza kuitwa JAKAYA MRISHO KIKWETE NGUZA VIKING (BABU SEYA)??
Huu undugu wa kuomba kwa barua si mchezo.
Soon tutasikia HARRISON MWAKYEMBE LOWASA

ayaaaah! Babu Seya aliyeimba wimbo wa SALIIMA?
 
Wewe na vicent mna ushahidi gani kama mkapa alimuua nyerere?. Au mnataka kulitia doa Taifa kisa vicent hakutambuwi mzee mkapa., kubali uc kubali wewe cyo familia ya nyerere labda uko wa nyerere na kama ukoo2 hata wasukuma pia wanaukoo na nyerere lakini cyo familia ya nyerere. Na hilo jina la nyerere mbona umelikomalia sana' wakati hata makongoro halitaji sana kwenye harakati zake za kisiasa? Au una mkana baba yako joseph? Usiwe maskini wa sera na hoja. Muache mzee mkapa aonyeshe njia ya maendeleo ktk taifa hili bd tunamhitaji usimchafue na kama una ndoto za kuwa nyerere wa pili basi hy cyo njia muafaka kuwa na adabu wewe.

jifunze maana ya extended family na nucleated family hutaweka ujinga kama huu. Civics ya form 1 ina majibu
 
Tusonge mbele vicent nyerere, mtu mzima amekupata na amekuelewa, natumai kama sio la kuvunda...., basi atakuwa amejifunza.
 
Hamne neno linaloitwa baba mdogo, kama kweli ni mtoto wa damu wa kiboko je hawana mahusiano ya damu na mwalimu? na waafrika ukoo unahesabiwaje? Nadhani itabidi tujue kabila lako ama bara unalotokea. Baba mdogo ni jina c letu hatulijui kwetu Mara. Inaonekana pia hujui maana ya neno ndugu wa damu. Kajifunze neno nasaba ama vinasaba. Halafu tafuta walau mwalimu wa genetics akufundishe uelewe kwa nini ni vicent ataitwa Nyerere hata bila kujiita mtoto wa Nyerere. Rejea alivyosema makongoro
Vicent hajamchafua Mkapa, alishajichafua mwenyewe upende usipende.
Kwa hiyo Vincent anaona ni kuzaliwa kwenye ukoo wa Nyerere ni kitu cha maana sana! Maana sioni kama anatoa hoja yeyote ya maana. Ingawaje watu wanachekelea domo lake linavyosema ovyo kumchafua Mkapa kwa hoja za kitoto, ajue anamchafua zaidi huyo Nyerere ambaye anamwita baba yake. Iko siku atajutia maneno yake na sidhani kuwa mtoto wa baba mdogo ana haki ya kumuongelea baba mkubwa kuliko wanaye wa damu.
 
Hii akili au matope, eti alikuwa anatania, anatania yupo jukwaani akiongelea mambo serious kama yale?
Hapa nina wasiwasi isijekuwa hata hizo ahadi zao kwenye kampeni zao nazo ni utani mtupu..
Mtu mzima hofyoo kabisaa.. Alaaah
Si angemtania kwenye simu kwa ni utani uwe jukwaani msamaha ufanyike kwenye simu
Hili jitu tahira kama suraa yake
 
Wahenga walisema " Ndugu wakigombana, chukua jembe ukalime.Wakipatana chukua kapu ukavune".
Hebu nichukue zangu jembe miye!
 
Kuna watu wanasema eti Vincent anamchafua Ben. Hvi alikuwa hajachafuka huyu mwizi. Nadhani kumbukumbu szenu sio sahihi.
 
Hatari kubwa sana,kwa Watanzania kufanywa mabwege,sasa ndo yanajidhihirisha kuwa ndani ya CCM kila kitu kipo kiutani utani.Ndo maana hat kuwafikisha fisadi mahakamani nayo ili kuwa masihara,Hata kuvuana gamba ulikuwa mchezo wakuigiza.Ndo maana maisha bora kwa kila mtanzania yalishindikana kwa kuwa tu ulikuwa ni utani ndani ya serikali ya CCM.Kasi mpya zaidi,ari mpya zaidi na nguvu mpya zaidi vyote hivyoni utani ndani ya serikali na ccm yake.Si ajabu hata kura sitakazo ibiwa huko Arumeru kisingizio kitakuwa utani.Si vibaya kama mtabadili mwelekeo na kukisajiri upya chama hicho na kuwa Chama Cha Masihara (CCM) kuliko kukiita chama cha mapinduzi
 
Back
Top Bottom