Elections 2010 Vibweka vya Uchaguzi Igunga: Mabasi kukamatwa, masanduku kwa DC na mengineyo..

Wanataka baada ya uchaguzi, CDM walalamike kwamba wameibiwa? Hakuna hilo tena, tunabana mbavu sasa mpaka kieleweke.
wewe akili zako fupi kweli yani vijana wa cdm tusiende kuwadhibiti hawa wez kutegemee usalama! Hv ww uko bongo kweli?hujui hawa usalama ni usalama wa ccm?na katika billions of sh. za uchaguz igunga nao fungu lao lipo, sasa ndo tuwategemee hawa usalama kudhibiti hujuma?! Tumia akili wewe.
 
Back
Top Bottom