Vibaka wa GOMS wajipanga kulipua baruti

CPU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
3,863
687
Kuna baadhi Vijana (vibaka) kadhaa wa GOMS walikuwa wanapanga waanze kulipua baruti mfululizo ili kuwatisha wananchi wakimbie tena makazi yao kwa kudhani mabomu yanaendelea kulipuliwa ili wao wapate nafasi ya kuiba
 
kaka ikitokea hii lazima usaidie polisi.
huwezi kusema kuna wezi wamepanga kuiba NBC leo halafu uhojiwe useme huwajui hao wezi.
 
Lakini mabomu yalipiga hadi vibaka na huenda kati ya majeruhi au waliokufa ni vibaka wenzao, nashauri wawe na subira na huruma katika kipindi hiki kigumu
 
kaka ikitokea hii lazima usaidie polisi.
huwezi kusema kuna wezi wamepanga kuiba NBC leo halafu uhojiwe useme huwajui hao wezi.

Kaka, kwani kutoa taarifa za wizi ni kujua wezi???!!
Au kutoa tahadhali ni kufahamu mipango yote???
 
Back
Top Bottom