Viatu vyetu, tutafika tuu...

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
580921_10151104143055568_803840552_n.jpg


Yaani huu ndio mwisho wa kufikiria, khaaaaa
 
hata hao wa supra na nyinginezo! walikuwa na mawazo ya kuanzia huku! sema walionekana wakawezeshwa ndo mana unaona wako mbali! wetu tukiona wanamawazo na ubunifu kama huu, tuna wafukuza maeneo yao,na tunapiga marufu biashara ya matiri chakafu! sasa wataendeleaje ikiwa hawawezeshwii! mwalimu wa veta jagundua gari linalotumia solar! chombo cha kuifazi watoto waliozaliwa chini ya miezi husika kinachotumia solar,kifaa kinachotoa sauti kufukuza mbu, chombo cha kuvutia samaki baharini kwa sauti! ila ndo kwaaanza hatuwathamini! tunaagiza eti mafuta yakupaka kukimbiza mbu ya mchina! bongo tumepotea! ukitaka kuona haya na kuyajua, skilizeni supamix eastafrica redio na kuangalia uswazi cha eatv! ndo utajua kama kuna wabongo wanafikiria na wanaubunifu! ila hawawezeshwi tu! sasa mtu kama huyu alieweka ivi viatu, akipewa elimu na chombo cha kutengenezea design mbali za viatu! we unafikiri atakuaje? very best
 
Nani kasema hapo ndio mwisho wa uwezo wetu wa kufikiria?
Wengine kama Masoud Kipanya wamethubutu na wamesonga mbele:

227209_101198689970835_4189530_n.jpg


225674_101199116637459_8115433_n.jpg


222284_101199353304102_7414063_n.jpg


221734_101198179970886_1052152_n.jpg


222162_101199446637426_376669_n.jpg
 
Nani kasema hapo ndio mwisho wa uwezo wetu wa kufikiria?
Wengine kama Masoud Kipanya wamethubutu na wamesonga mbele:

227209_101198689970835_4189530_n.jpg


225674_101199116637459_8115433_n.jpg


222284_101199353304102_7414063_n.jpg


221734_101198179970886_1052152_n.jpg


222162_101199446637426_376669_n.jpg



Wewe Mwali watoto wa mafisadi wako matajiri ndio wanavaa hivyo!

Yako ngumu kumesa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom