Via kitandani

Hayo ndy mapato ya faida ya kulala sebuleni!
Umembonji chumba ndefu nini?
Pole
tafuta mti mmoja unaitwa Mgalala majani yake uwe unajipaka Mmbu hasogei .

haaaaa..teh.teh...Hapana siwezi kupaka Mgagala nitanunua RunGU
 
Mi nilidhani mambo ya minara hapo kitandani kumbe mbu!! Ebooo....kwani we hujapata net za Bush?
 
Mi nilidhani mambo ya minara hapo kitandani kumbe mbu!! Ebooo....kwani we hujapata net za Bush?

YNNAH mambo? Ulivyoamka ? Juzi sijui ukanichoropokaje! Nway na mie nataka hizo Neti za pori !
We unazo? Kama jibu ndiyo UTANIPA ?
 
YNNAH mambo? Ulivyoamka ? Juzi sijui ukanichoropokaje! Nway na mie nataka hizo Neti za pori !
We unazo? Kama jibu ndiyo UTANIPA ?
ukitaka net za pori nipe kibarua. Nimeamka salama mie, je wewe?
 
weeeeeeeee unamwambia mwenzio apake majani, ili akiamka asubuhi anuke kama mganga wa kienyeji eeeeeh?

Hayo ndy mapato ya faida ya kulala sebuleni!
Umembonji chumba ndefu nini?
Pole
tafuta mti mmoja unaitwa Mgalala majani yake uwe unajipaka Mmbu hasogei .
 
ukitaka net za pori nipe kibarua. Nimeamka salama mie, je wewe?

Kibarua si kilikuwepo! Ukadai waendea mivyeti ?
Thn ndo ukachikichia mazima! Ningekusaidiaje? Na contacts hukua umeacha?
Rite nw keepleft cheupee! Kilishapruniwa! Utasubiri hadi kimee tena ? Si u'request category sustainable ?
Kiafya nimeamka poa.
Unanipaje hiyo Nepi No i mean Net?
 
weeeeeeeee unamwambia mwenzio apake majani, ili akiamka asubuhi anuke kama mganga wa kienyeji eeeeeh?

Ukimuona mgonjwa anaselekti dawa huyo hajashikwa! Ni kama prisoner due prison!
The matter mi na ww tumsaidie mgonjwa, hebu sema hapo pande zako huo mti uitwao Mgalala unapatikana?
 
Kibarua si kilikuwepo! Ukadai waendea mivyeti ?
Thn ndo ukachikichia mazima! Ningekusaidiaje? Na contacts hukua umeacha?
Rite nw keepleft cheupee! Kilishapruniwa! Utasubiri hadi kimee tena ? Si u'request category sustainable ?
Kiafya nimeamka poa.
Unanipaje hiyo Nepi No i mean Net?

hakuna kilichoharibika, najua soon majani yataota tu kwenye mnara. Hapo ndio tutafanya bata trade sasa
 
hakuna kilichoharibika, najua soon majani yataota tu kwenye mnara. Hapo ndio tutafanya bata trade sasa

Nini Bata trade! Hata Kuku trade tutafanya!
Btw stay tune your weapons! (device to attack) Coz zinapokaribia siku za tenda kuiva na tangazo likitoka ushindani hua mkali.
Jitahidi usikae mbali na mnara.
 
jamani hawa Mmbu wanauma kaaah..humu ndani kama shamba la Mmbu..usiku mwema jamani.
usiku mwema mpz mana mm nina mda sana sijaona mbu aisee mana huku kijijini kwetu hakuna kabisa mtu anatumia iyo kitu ilo baridi lililoko hata wanakufa wenyewe wote naona
:flypig:lala unono swt:flypig:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom