Via kitandani

Nini Bata trade! Hata Kuku trade tutafanya!
Btw stay tune your weapons! (device to attack) Coz zinapokaribia siku za tenda kuiva na tangazo likitoka ushindani hua mkali.
Jitahidi usikae mbali na mnara.

mh!! Mi bwana nataka hiyo tenda yani nikiikosa sitakuelewa. Ila kukaa karibu na mnara bila kazi maalum nao mtihani ujue.
 
Mtihani utoke wapi ?
Sasa hii
Mgaagaa na wali, hali upwa mkavu itakua haina maana tuitupe kule!
Wee bwana subiriasubiria kiduchu nikubariki as first nomenee!
Naona kama mkoko unaalika maua hivi !
Afu Unguja na Zanzibar wapi pazuri ?
 
mkoko unaalika maua hasaaa hata mie naona. Unguja na Zanzibar mbona ni kitu kimoja we Judgement acha kunizingua bwana
 
Last edited by a moderator:

Mfupa hauna ulimi! Nilitaka kuuliza Unguja na Zanzibar wapi Pemba?
Back to the Mada, nashkuru kama ushauona Mkoko ualikavyo miua!
Tena miua chekwachekwa! Mi naomba zawadi ya vitu vitamvitam kama Halua or related matter! Si unajua mivitu ya Zenji tena!
Huku kwetu bara vya kukutumia wewe si vile vya tunu kiiivile!
Sanasana naweza anza kwa kukutumia Mswaki-wa- Mti , as know as Swaki-la-Jiti !
Watumia wewe?
 
Judgement bwana porojo nyingi mara Unguja na Zanzibar wapi mbali mara pemba unazunguka wee hadi umetokea kwenye swaki la JITI kumbe unataka nikuletee Halua...lol!! Haya nimekusoma
 
Ndo-maanake mi halua tu jamani haluwa!
Kwa halua mie! Weka mchezo mbali !
Sometymz nikiila mpaka nalia !
Utanioneaje uluma? Utanihurumia tu!
Hujisikia laa-mpaa- looni .
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom