Very urgent ku install wireless ya cisco katika win xp pro

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Habari wakuu na wana jf kwa ujumla poleni na mihangaiko

naomba kujua jinsi ya ku install wireless ya cisco katika win xp pro kwani ilikuwepo ghafla imetoweka na kwa upande wa internet msihofu net ipo nzuri tu katika computer nane mbili tu ndio zinasumbua.hizi computer za ofisi kwetu na mimi ndo it but imenichengua

asanteni
 
Jaribu ku search kwenye google or other search engine "how to install cisco wirless "
just weka card /adapter number utapata hope itakuwa easy.
Kwa ambao wanajua watakusaidia faster ni matumaini yangu.
 
Habari wakuu na wana jf kwa ujumla poleni na mihangaiko

naomba kujua jinsi ya ku install wireless ya cisco katika win xp pro kwani ilikuwepo ghafla imetoweka na kwa upande wa internet msihofu net ipo nzuri tu katika computer nane mbili tu ndio zinasumbua.hizi computer za ofisi kwetu na mimi ndo it but imenichengua

asanteni

Wireless ya Cisco ndiyo nini?
Na mie nimeachwa makaburini hapa, ingekuwa vyema ukaeleza ni product gani ya Cisco unayojaribu kuunganisha.
 
Habari wakuu na wana jf kwa ujumla poleni na mihangaiko

naomba kujua jinsi ya ku install wireless ya cisco katika win xp pro kwani ilikuwepo ghafla imetoweka na kwa upande wa internet msihofu net ipo nzuri tu katika computer nane mbili tu ndio zinasumbua.hizi computer za ofisi kwetu na mimi ndo it but imenichengua

asanteni
Angalia system device manager / Expand Network Adapters / then angalia kama kuna wireless adapter yoyote hapo na status yake. Kama hakuna tumia installation media iliyokuja pamoja nayo. Halafu fanya kama maelezo yatakavyokwambia on screen.
 
wireless ya cisco

Ingekuwa rahisi zaidi kukusaidi kama ungetuambia vizuri kuhusu hiyo wireless device. Ipo kwenye bus ipi? USB or PCI?

ilikuwepo ghafla imetoweka
Japokuwa maelezo yako ni finyu, ngoja nikupe a general solution. Kama ilikuwepo mwanzo, inawezekana sio tatizo la drivers ila hardware yako ime-fail kuwa initialized. So lets go with the usual suspects. Check kwanza kwenye device manager kama inaonekana. Kama ipo, angalia status yake. Check kama inaleta error code 10, device failed to start. In this case, unplug it and insert it to a different port kama ni USB otherwise kama ni PCI card, shutdown your computer, zima kabisa kwenye socket/UPS then fungua computer yako. Try to re-seat the device on a different PCI slot if any. If not, reseat it on the same slot. Power on your computer and check it out. Kama wireless card yako ina status light, angalia kama inawaka. If this doesn't work, you might try uninstalling drivers for the device by right clicking on the device and clicking uninstall then make sure you check remove driver software from the system. Restart your computer and check if the system detects the hardware. If it does, re-install your drivers as provided with the installation medium the device came with.

NB: This applies to any other device you might run into trouble in the future. Please respond with full model number of your device or the hardware ID which you can find from the details section on the properties page of your device kwenye device manager. And let us know if your problem is fixed already or not.
 
Back
Top Bottom