veeery glad......!!!

kipepe-o

Member
Nov 10, 2011
12
2
nimekua nikisoma na kufurahia na kujifunza mengi toka kwenu wana jf..kawaida mi ni mvivu sana kujiunga na mitandao ya jamii ila nyie mmenishawishi,big up n pamoja tulisongeshe...lunch njema hasa kwa wale wanaoibia maboc wao kwa kutumia two hrz lunch...
 
Dah, hizi lugha za kileo, wazee mnatupa tabu.
Anyway, kwakuwa ni jukwaa la utambulisho, KARIBU.
 
nimekua nikisoma na kufurahia na kujifunza mengi toka kwenu wana jf..kawaida mi ni mvivu sana kujiunga na mitandao ya jamii ila nyie mmenishawishi,big up n pamoja tulisongeshe...lunch njema hasa kwa wale wanaoibia maboc wao kwa kutumia two hrz lunch...

ha ha ha haaa! Karibu sana JF mkuu
 
Back
Top Bottom