Hakuna Asiependa Kushinda 4G au 5G kwa Mkapa

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,733
3,292
Mashabiki wa Team kubwa kubwa Afrika kama Yanga saiv mnatusimanga kua sisi MAKOLO hatujashinda goli 4 au 5 kwenye uwanja Mkubwa Afrika Mashariki na kati BENJAMIN MKAPA NATIONAL STADIUM..Na Mnaenda mbali sana mnasema kua hata jumamos tunaweza pigwa sisi au tukashinda ka goli kamoja au tukijitahidi sana basi ni 2.

Mi nimekua nikiumizwa kabisa na hizi kauli,Naomba niseme tu kua hakuna Asiependa Kushinda hizo goli 4 au 5G kama nyie Team la vitisho kwa sasa Afrika Mashariki na kati ambalo limeanza kuiteka na Afrika toka Msimu uliopita YANGA...

NIWAAMBIE TU Yani sisi kila tukitamani kushinda hizo goli kama Nyie Akili inatuambia Unatamani kushinda hizi goli na Foward gani?

AKILI;Yani unataka Ushinde goli 5 kwa Foward yako ya kina KOBULA NA BOKO?

ME;Nisamehe Akili zangu nimekumbuka hatuna Team daah!!

NB;Sisi tukiwa tunasema hatuna cha kujifunza kutoka kwenu tunamaanisha Hatuna Kweli Cha Kujifunza kutoka kwenu Maana kwanza hatuna hao Wachezaji wenye Ubora kama wachezaji wenu sasa Mtu kama SAIDO Mzee yule atakua na Energy kama ya MUDATHIR kweli?..

Hatuna cha kujifunza kutoka kwenu Sa Mtu kama Mangungu atakua na Akili za kuwaza Mpira wa Kisasa kama Hersi? Mtu anawaza Kumleta Manzoki kwenye Uchaguzi kwa ajili ya Kampeni.

Hatuna Cha Kujifunza kutoka Kwenu sa Team inawaza kuandaa sherehe za kupeleka kibegi Mliman na kufungua Wasap Chanel Badala ya kusaka wachezaji wenye Vipaji vikubwa Kila Kona ya Afrika.

#SHABIKI LIALIA WA KOLO WAS HERE
 
Self image, ni tabia ambayo binadamu anaijenga kwa muda mrefu ambayo kuibadilisha ni ngumu ama huchukua muda mwingi kuibadilisha
 
Back
Top Bottom