Vc,dvc wasusa sherehe ya staff udom....................................

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Katika kile kinachozungumzwa kuwa hakuna uhusiano mzuri kati ya staff wa UDOM na DVC pfa Prof Mlacha,siku ya jumamosi VC na Ma-DVC wote wawili walisusia sherehe iliyoandaliwa na academic staff chini ya chama chao cha UDOMASA....hii ilikuwa ni baada ya uongozi wa UDOMASA kumualika VC na kukataa kumualika DVC pfa Prof Mlacha katika sherehe hiyo....baada ya kuona hivyo VC aliwasihi UDOMASA kwamba kutomualika DVC pfa Prof Mlacha kutasababisha migongano ya kiuongozi na kuwaomba viongozi na wanachma wa UDOMASA kumualika pia prof Mlacha bila mafanikio...siku ya sherehe ilipofika VC na Ma-DVC wake hawakuonekana na ndipo VC alipotoa udhuru kuwa anauguliwa na mwanae.....
 
Pale tatizo ni siasa..the whole University believes and by they way ...it acts in a politica way!
 
Back
Top Bottom