Vazi la ndani (kufuli)

niliwahi kukutana na demu ndani kapiga kipensi cha jeans, sijui aliofia nitambaka ila baadae nilimpa masongi akakivua mwenyewe maana ilikuwa first time kukutana nae nilimkaribisha geto kwa mshikaji enzi za sekondari UMISETA
 
Kuna jamaa yangu kakutana na dada mmoja Mwanaharakati amevaa ya Green ina mfuko wenye zipu imeandikwa "KIDUMU CHAMA TAWALA" kwa jinsi bibi yule wa Jangwani alivyoji-PIMP naamini kuwa zipo...
 
Kuna jamaa yangu kakutana na dada mmoja Mwanaharakati amevaa ya Green ina mfuko wenye zipu imeandikwa "KIDUMU CHAMA TAWALA" kwa jinsi bibi yule wa Jangwani alivyoji-PIMP naamini kuwa zipo...

:becky::becky::becky:uMENIKUMBUSHA MBALI MKUU " KUNAJAMAA ALIKUTANA NA ALIYEVAA NYEUSI INA MAANDISHI MEUPE YAMEANDIKWA MATESO"
ALIPOTUSIMULIA TULIVUNJIKA MBAVU MBAYA SANA:becky::becky::becky:
 
mmmh!lakini tuseme na ukweli tu,kufuli ya rangi nyeupe kwa madem ni bomba sana na inamdhihirisha kuwa yeye ni msafi unless otherwise!
 
Nyie watu mnachekesha sana, hii sredi naiona tu nilikuwa sijaifungua!!!
Bai ze wei, chupi ya nini tena katika malavidavi?.....asipovua hiyo chupi itakuwaje? NGOMA NI VIPAJA NA VIPWIMPWI, bila kusahau MTINDI wa kutosha!
 
Uongo kazi jamani mimi nimewahi kuwa na rafiki ambae aligombana na chupi kila akija mjengoni hana chupi yaani ilikuwa........
 
Nyie watu mnachekesha sana, hii sredi naiona tu nilikuwa sijaifungua!!!
Bai ze wei, chupi ya nini tena katika malavidavi?.....asipovua hiyo chupi itakuwaje? NGOMA NI VIPAJA NA VIPWIMPWI, bila kusahau MTINDI wa kutosha!

Chupi zinahamasisha we angalia hata wavaa bikini utavutiwa na waliovaa rangi flani! Any way pamoja na kwamba ataivua ili timbwili lifanyike ni kama kuuliza mabusu ya nini sasa kama ile kitu haiko shavuni:becky::becky::becky::becky:
 
Nyie watu mnachekesha sana, hii sredi naiona tu nilikuwa sijaifungua!!!
Bai ze wei, chupi ya nini tena katika malavidavi?.....asipovua hiyo chupi itakuwaje? NGOMA NI VIPAJA NA VIPWIMPWI, bila kusahau MTINDI wa kutosha!

Kuna wakati mwingine haivuliwi....unaisukumia pembeni kidogo tu........
 
Kuna wakati mwingine haivuliwi....unaisukumia pembeni kidogo tu........

Kaka umenena yaani umenikumbushia GF wangu na karangi kake ka kufuli mpaka jamaa kaamka fyaaaaa:becky::becky::becky:
 
mi binafsi napendelea white...ila isiwe kama bukta bana....ila akija bila kuvaa its even better....:becky:
 
Lol...its so funny! Wengine sie tuna 'upofu wa rangi'!
 
Mie napenda rangi ya Yanga bwana....
2c7d6e56b0c1cf4fc56bb23513809c9d.jpg
 
Back
Top Bottom