Ile meli imeshazama yote Houth wasema wataacha kushambulia Israel ikisitisha vita Gaza

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,183
10,920
Mv Rubymar iliyopigwa na Houth mnamo Februari 18 mwaka huu tayari imezama kabisa
1709410506558.png

DUBAI, United Arab Emirates — A ship attacked by Yemen’s Houthi rebels has sunk in the Red Sea after days of taking on water, officials said Saturday, the first vessel to be fully destroyed as part of their campaign over Israel’s war against Hamas in the Gaza Strip.

The sinking of the Rubymar comes as shipping through the crucial waterway for cargo and energy shipments moving from Asia and the Middle East to Europe has been affected by the Houthi attacks.

Already, many ships have turned away from the route. The sinking could see further detours and higher insurance rates put on vessels plying the waterway — potentially driving up global inflation and affecting aid shipments to the region.

The Belize-flagged Rubymar had been drifting northward after being struck by a Houthi anti-ship ballistic missile on Feb. 18 in the Bab el-Mandeb Strait, a crucial waterway linking the Red Sea and the Gulf of Aden.

Yemen’s internationally recognized government, as well as a regional military official, confirmed the ship sank. The official spoke on condition of anonymity as no authorization was given to speak to journalists about the incident.

The British military’s United Kingdom Maritime Trade Operations center, which watches over Mideast waterways, separately acknowledged the Rubymar’s sinking Saturday afternoon.

The Rubymar’s Beirut-based manager could not be immediately reached for comment.

Yemen’s exiled government, which has been backed by a Saudi-led coalition since 2015, said the Rubymar sank late Friday as stormy weather took hold over the Red Sea. The vessel had been abandoned for 12 days after the attack, though plans had been made to try and tow the ship to a safe port.

The Iran-backed Houthis, who had falsely claimed the ship sank almost instantly after the attack, did not immediately acknowledge the ship’s sinking.

The U.S. military’s Central Command previously warned the vessel’s cargo of fertilizer, as well as fuel leaking from the ship, could cause ecological damage to the Red Sea.

Ahmed Awad Bin Mubarak, the prime minister of Yemen’s internationally recognized government, called the ship’s sinking “an unprecedented environmental disaster.”

“It’s a new disaster for our country and our people,” he wrote on X, formerly Twitter. “Every day, we pay for the Houthi militia’s adventures, which were not stopped at plunging Yemen into the coup disaster and war.”

The Houthis have held Yemen’s capital, Sanaa, since 2014, expelling the government. Its fought a Saudi-led coalition since 2015 in a stalemated war.

Satellite pictures analyzed by The Associated Press from Planet Labs PBC showed smaller boats alongside the Rubymar on Wednesday. It wasn’t immediately clear whose vessels those were. The images showed the Rubymar’s stern sinking into the Red Sea but still afloat, mirroring earlier video taken of the vessel.

The private security firm Ambrey separately reported Friday about a mysterious incident involving the Rubymar.
“A number of Yemenis were reportedly harmed during a security incident which took place” on Friday, Ambrey said. It did not elaborate on what that incident involved and no party involved in Yemen’s yearslong war claimed any new attack on the vessel.

Since November, the rebels have repeatedly targeted ships in the Red Sea and surrounding waters over the Israel-Hamas war. Those vessels have included at least one with cargo bound for Iran, the Houthis’ main benefactor, and an aid ship later bound for Houthi-controlled territory.

Despite over a month of U.S.-led airstrikes, Houthi rebels remain capable of launching significant attacks. That includes the attack on the Rubymar and the downing of an American drone worth tens of millions of dollars.

The Houthis insist their attacks will continue until Israel stops its combat operations in the Gaza Strip, which have enraged the wider Arab world and seen the Houthis gain international recognition.

However, there has been a slowdown in attacks in recent days. The reason for that remains unclear.

Ship hit earlier by Yemen’s Houthi rebels sinks in Red Sea

Israel hata izame hawana shida ikizama na wao wanazamisha gaza nyumba za Gaza kibao wanazamisha chini kwa kuziporomosha na makombira maelfu wanakosa makazi na kulala nje tofauti na meli yenye wafanyakazi 20 wa melini kwa hasira.

Kuwa zamisha meli moja ya wafanyakazi 20 halafu Israel inaporomosha majengo yenye wakazi laki moja wakose mahali pa kuishi nani zaidi hapo?
 
Israel hata izame hawana shida ikizama na wao wanazamisha gaza nyumba za Gaza kibao wanazamisha chini kwa kuziporomosha na makombira maelfu wanakosa makazi na kulala nje tofauti na meli yenye ...
Ni sawa mbabe akufumue makofi halafu ukalipize kwa mwanae je ni sahihi?
 
Israel hata izame hawana shida ikizama na wao wanazamisha gaza nyumba za Gaza kibao wanazamisha chini kwa kuziporomosha na makombira maelfu wanakosa makazi na kulala nje tofauti na meli yenye wafanyakazi 20 wa melini kwa hasira.

Kuwa zamisha meli moja ya wafanyakazi 20 halafu Israel inaporomosha majengo yenye wakazi laki moja wakose mahali pa kuishi nani zaidi hapo?
Subiri tuone
 
Ni sawa mbabe akufumue makofi halafu ukalipize kwa mwanae je ni sahihi??
Ni kama vile Hamas walipiga kidogo ndani ya Israel halafu Israel ikaenda kuua maelfu na kubomoa majengo 80% ya Gaza.
Jee kuna ulingano hapo
 
Ni kama vile Hamas walipiga kidogo ndani ya Israel halafu Israel ikaenda kuua maelfu na kubomoa majengo 80% ya Gaza.
Jee kuna ulingano hapo
Yani nilichomaanisha zaidi tofauti na hiko mkuu Hamas na makundi mengine yanalenga MAMLAKA za Israel ila Israel inalenga raia.

Ndio sawa jamaa akutie kofi(Hamas and allies) wewe ulipize kwa mtotowe(Gaza residents).
 
Kwa sababu ujificha kwa raia
 
Kwa nini wasiende kupambana na Israel uso kwa macho badala ya kuvizia wasiohusika?Hawajui Israeli ilipo?
Lengo linafahamika.

Ni kukata mirija na kuvuruga uendeshaji uchumi wa Israel ili vita ikome Gaza na matakwa yatimizwe.

Kama kuhusu kupigana na Israel Hizbollah wapo.

Ila meli za biashara shirika na Israel hazipaswi pita bahari nyekundu.
 
Huko ni kujichosha tu.Hakuna njia nyingine za kufika Israel zaidi ya hiyo?Hizboollah wanao gudemagudema?
 
Huko ni kujichosha tu.Hakuna njia nyingine za kufika Israel zaidi ya hiyo?Hizboollah wanao gudemagudema?
Hizbollah wanazuia full scale war maana wakiingiza Lebanon katika vita ya ujumla uchumi utatetereka zaidi maana hapo walipo bado wana majeraha ya kiuchumi.
Houthi Yemeni hawezi kusema atoke hapa aende mpaka Israel kistratejia haijakaa poa maana warships za US navy ziko pale mediterranean.
Wao wanaona hiyo ndio njia sahihi mkuu.
Na kwa kiasi flani imelipa.
 
Hii kauli IDF waliambiwa wathibitishe na wakakosa ushahidi.
Katika hao raia hakukupatikanika silaha wala kisu cha mwanamgambo.
Hayo madai unayoyaleta Israel mpaka ICJ walishindwa kuthibitisha mkuu.
Kwann wasijiche kwenye kambi zao ili kuwalinda raia
 
Yani nilichomaanisha zaidi tofauti na hiko mkuu Hamas na makundi mengine yanalenga MAMLAKA za Israel ila Israel inalenga raia.

Ndio sawa jamaa akutie kofi(Hamas and allies) wewe ulipize kwa mtotowe(Gaza residents).
Nimekuelewa vyema.
Nilichokusudia ni kuwa iwapo mbabe atakupiga basi usilie tu na kufuta makamasi.Jaribu kupambana naye kadei ya uwezo wako.
Usipoweza kumpiga kichwani basi hata mparure miguuni kwake.
 
Hizbollah wanazuia full scale war maana wakiingiza Lebanon katika vita ya ujumla uchumi utatetereka zaidi maana hapo walipo bado wana majeraha ya kiuchumi.
Houthi Yemeni hawezi kusema atoke hapa aende mpaka Israel kistratejia haijakaa poa maana warships za US navy ziko pale mediterranean.
Wao wanaona hiyo ndio njia sahihi mkuu.
Na kwa kiasi flani
Hizbullah kwa Israel muda huu ni tishio kubwa na ndio maana Israel inashambuia kwa tahadhari kubwa na Marekani inaogopa sana hivyo vita.
Kuna eneo la Israel muda wote limezingirwa na Hizbullah kwa nyuzi 270.Vita vikianza kwa kasi kama vile vya mwaka 2016 basi Hizbullah wana uwezo wa kuliteka hilo eneo na Israel baada ya majeraha ya Gaza hawana nguvu za kuwasukuma nyuma Hizbullah kirahisi.
 
We mshamba sijui upo mbagala sehem gani
 
Back
Top Bottom