Arabela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 3,127
- 2,227
Nenda MMU,KUNA BINTI anatafuta mpenzi.
thanks jaman
Nenda MMU,KUNA BINTI anatafuta mpenzi.
thanks jaman
Nenda MMU,KUNA BINTI anatafuta mpenzi.
charminglady mpenzi hakuna vazi nnalolipenda kama kile ki sexy Lingerie unachokivaaga usiku, yani uwa napatwa mshawasha usio wa kawaida najikuta nakupenda mara mia zaidi,
Du,nieleweshe vizuri mkuu?MMU niwapi?
Jukwaa la Mapenzi,Mausiano na Urafiki.
Suti, tena koti liwe la kihehe (oversize)
hahhahaah una utani na mkulu weye huwa linavaliwa wakati gani?
Dah...!Nguo yandani yenye tobo paleeeeeeee!
Mbona hyo umejibu ya mtu mwingine...
kiwewe 2 cha kukuona
Shati la Kikwete lenye Maua Maua hili ndio la kwanza kuona limevaliwa na Mwanaume wakati wa Sensa
Mbona hyo umejibu ya mtu mwingine...
Sio Sharti ni Shati:biggrin1: yaani sharti la kikwete linakuvutia??!! Nimependa hiyo ya unamcheki mamaa anaenda jikoni na kurudi unamkodolea tu pale like dat :happy: