....Vazi Gani linakuvutia kwa Umpendae...

mi akivalia kombati la khaki au leusi.......nampendajeeeeeeeeeeeeeeeeee.........
 
Me huwa Nasuuzika nikiona Gagulo kitu Chepesi chenye mtetemo laini kipo kama Transparent vile... Nitakuja Kumnunulia Akiwa Mpenzi wangu
 
Shati la Kikwete lenye Maua Maua hili ndio la kwanza kuona limevaliwa na Mwanaume wakati wa Sensa

:biggrin1: yaani sharti la kikwete linakuvutia??!! Nimependa hiyo ya unamcheki mamaa anaenda jikoni na kurudi unamkodolea tu pale like dat :happy:
 
:biggrin1: yaani sharti la kikwete linakuvutia??!! Nimependa hiyo ya unamcheki mamaa anaenda jikoni na kurudi unamkodolea tu pale like dat :happy:
Sio Sharti ni Shati

Shati lenye Nakshi ya Maua halivaliwi na jamii ya Kiume Pengine Mkulu sababu kavamiwa na Watu wa Sensa Nyumbani so kakulupuka na kuchukua Nguo ya Mw'Asha na kuvaa linapendeza haswa akilivaa mtoto wa Kike..

Me Nasuuzika zaidi nikiona Gagulo!
 
Back
Top Bottom