Vatican, nchi yenye watu 800 kwa mujibu wa sensa ya 2008

Iko hivi, Vatcan Ni mji ambao wanaishi masister na mapadre kwa kiasi kikubwa na raia WA mji huo huwa hawatakiw kuongezeka wapo elf moja Tu... Na akifariki mmoja wanamreplace na wote wanaokaa kule Wako appointed... Ni mji mtakatifu ambao kama nlivosema hakuna anaezaliwa kule.. Maana wanaishi mapadre na maccter Tu japo huduma za jamii karibu zote zipo
kuna gesti yoyote hapo vatcan
 
Raia wapo lakini sio wa vatican ni kutoka sehemu zingine duniani
Wazawa ni 600 na waliobaki ni wa mataifa mengine ambao wanaishi vatican
 
Na wale watoto wanaonajisiwa?
Hii skendo ilitokea katika nchi za marekani kanada ujerumani na brazil na kinachoendelea sasa ni watuhumiwa ikiwemo wale walioshiriki na maaskofu waliofumbia macho vitendo hivyo kesi zao zinaunguruma katika mahakama za kanisa hilo na mfano tu ni brazili makasisi 3 walitiwa hatiani
Mfano mwingine pia ni marekani ambapo kasisi 1 alikutwa na hatia pia adhabu bado sijajua ila wamefukuzwa kazini
 
Halafu ni kesi za 1970's na 80's
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom