Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

Next please.... Hahaaaa umenifurahisha sana na hili simulizi mpenzi.... Tunasubiri kengine katamu zaidi ya haka....
Shkamoo Lara 1 aka KLM..aika mae
Marhabaaaa! Tupemmaoni yakooo, wapi palikukunaaa sanaaa, wapi palikukwaza almanusura ususie story, Wapi uli rest in peace. Tupe maoni yako.
 
Bora imeisha!!!!!
Mahusiano yangu yalikuwa hatarini,simu sipokei na nikipokea naaga fasta nije kusoma story.
Msgs sijibu....uwiiiiiiii!
Lara 1 sio kwa kutushika huku!

Anyways, kiukweli kama binadamu nimemuonea huruma sana baba Melissa, hadi chozi limenitoka!
Na kuhusu Sisca na KLM (Hivi hiki ni kifupi cha nini?)
Namuona Sisca ndani yangu...
Umenikosha hapo kwa "A woman who asks for nothing deserves everything".
Asante lara 1,tuleteee ile ya Average Joe sasa.
 
KLM = Kubwa la Maadui
 
Story tamuu...Ila umaliziaji sio mzuri Lara 1.
Umetuacha njia ya panda kwa kweli!! vipi hatima ya Anny na Mchaga!! Vipi kuhusu majaliwa ya mimba za Angy,Anny na Sissca!!
How about Bridal Shower ya Sisca!! Na vipi send off yake na hata harusi yake jamani!!

Inaonekana kama umeamua uokoe muda wako kwa kutoendeleza episode zilizobakia,Kiukweli tuwe fair story tamu na nzuri kama hii haikupaswa kuisha hivi!! All in all,Asante sana kwa kutumia muda wako na kushare nasi kipaji chako....May God bless you!!
Hahahaaaa! Sasa story haijaisha in real life ndo maana nimeshindwa kukupa THE ENDING YOU WANT. Hio story watoaji tunavoongea harusi ya Sisca ni Jmosi hii. So iliponasa hapa na real life imenasa hivo hivo
 
Bora imeisha!!!!!
Mahusiano yangu yalikuwa hatarini,simu sipokei na nikipokea naaga fasta nije kusoma story.
Msgs sijibu....uwiiiiiiii!
Lara 1 sio kwa kutushika huku!

Anyways, kiukweli kama binadamu nimemuonea huruma sana baba Melissa, hadi chozi limenitoka!
Na kuhusu Sisca na KLM (Hivi hiki ni kifupi cha nini?)
Namuona Sisca ndani yangu...
Umenikosha hapo kwa "A woman who asks for nothing deserves everything".
Asante lara 1,tuleteee ile ya Average Joe sasa.
KLM ni KUBWA LA MAADUI.
 
Hahahaaaa! Sasa story haijaisha in real life ndo maana nimeshindwa kukupa THE ENDING YOU WANT. Hio story watoaji tunavoongea harusi ya Sisca ni Jmosi hii. So iliponasa hapa na real life imenasa hivo hivo
Harusi haina sendoff na makashkashi hapa katikati kuelekea church??heb fanya mpango utupe updates,maana huu ulevi wako ht methadone haina msaada
 
Harusi haina sendoff na makashkashi hapa katikati kuelekea church??heb fanya mpango utupe updates,maana huu ulevi wako ht methadone haina msaada
Gobole toa feedback, tumeenda wote mdogo mdogo toka mwanzooo. Feedback yako ni muhimu sanaa, umemsakama sanaaa Mangi. Hihiiiiiii! Nahiai bet wako alikuwa Mangi.
 
For me,

The best of the best i will have to go with Mangi, cause he surpassed my expectations. Grew balls when needed, and won by losing a lot of times. Above all he dared the devil, and tamed her.

The worst of worst i am tempted to go with Baba Melisa, but i have to with Anny, she too dumb! Even for my liking.

The saddest part was the last abortion, it toped baba Melisaa kusign divorse papers. And it happens a lot. Wanawake wengi wakikosana na watu wao wanakimbilia abortion as a way to save themselves.

Happies part ni Mangi alivoshindaaaa! Hureeeeee! Hahahaaaa!
 
My best part,KLM kutangaza ndoa... Af kashajipanga tayari maana mahari 6M na ndoa ndan ya mwezi si mchezo

Nimemuonea huruma baba Mellisa

BTW Zile mbinu alizopewa Anny na shogaake za kummaliza mangi natamani unidokeze zaid
 
Gobole toa feedback, tumeenda wote mdogo mdogo toka mwanzooo. Feedback yako ni muhimu sanaa, umemsakama sanaaa Mangi. Hihiiiiiii! Nahiai bet wako alikuwa Mangi.
Mi story zako hua naenda nazo mwanzo mwisho...infact hua na subscribe kabisa ili nisipitwe...stori kwa kweli ilikua more than good & existing...bliv me kuna wengi tulikua tuna watch mida ifike tupate kitu na box...it was super dupa...i like character ya KLM & Mangi(may its bcoz am a man)...felt sorry for baba mellisa whom i think we share the same story ya kupoteza diamond in seach for metal tho sio ktk ndoa(someday ill tell u my story uwaburudishe ndugu zangu humu)...The story started very strong bt the finish kidogo naona km umewahi kuimaliza sina uhakika why bt i felt kuna vitu umetunyima...bt all in all it was the best best story among all ur stories na nna penda kukupongeza coz as days goes on unazidi kua mtamu & kipaji kinazidi kung'aa...now u need to go to another level...you should find a way for people to subscribe and pay for ur stories...ni hayo tu best angu
 
Haaahaa @lara1 asante kwa stori tamu, next time ntakutumia mia 5 ya soda kubwa. . I envy KLM' s confidence anajiamini hatari. hahahha ana suprise za ajabu sana, as napenda suprise. Opppsss poor Mangi kipindi anapoteza mechi lols! Wanawake wote wa humo nawapenda. Ohhh jamani Baba melisa, sijui anahubiri wapi sa hivi
 
KLM is a character a real man should have. The saddest part is BabaMelissa lost his wife and daughter who he didn't care after them before and came to realize their value when it was too late. Anyways umetisha mzazi be blessed !!
 
Asante sana Lara 1 kwa kunirudisha JF kwa story hii baada ya miaka mingi. Yapo mengi ya kujifunza.

Ndoa au harusi a bold question,

Angy is an iron Lady aisee, hadi kapata true happy ending
 
lara 1 umetoka mbali sana, from all those insults na kejeli na judgemental people to unamimous acceptance!

Viva lara 1. Zindua kitabu mama; I, a computer nerd will be in the darkest corner watching it all.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom