Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

Mangi hatimaye katuondolea aibu. Haikaa mangiiii

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Hahahahahhhhh!!mangi kasugua gaga balaa mpaka mtu kumeza panadol dah,Lara 1 unamatatizo wewe si bure
 
meku kala karanga mbichi,supu y pweza bado kauza mechi.....kapania balaa limemkuta kuharisha mpka 7 ucku yani kma kashikwa n kipindupindu
 
Hatimae ngamia wa maonyesho auzwa kwa dau kubwa.. Hahaaaa jamaa aliamua kuikeshea teheee!!!!!
 
Duhhh yan shoo hizo huwa ni diclofenac ...then unatafuta mafuta ya oliver unapka kwa bb unawasha fen mpka mwisho inapuliza tu ....SHIKAMOO KAKA YANGU MANGI kwa kututoa kimaso maso....
 
All that glitters is not gold!

Ikawa kuna parents day, akaenda Mama Mellisa, ndo akauona huyo Ty, akiwa na mama yake. Mama yake kadogooo tu kabinti ka 21 yrs. Watoto wakasalimiana pale, ikabdi wakubwa nao wasalimiane, ndo mama Ty sinywi maji yakasuka Melissa Melissa mtu anataka kwenda shule na homaa huwzi amini he wants to take the flower to Mellisa. Wakachekaaa Mama Ty, ndo kumwambia kuna birthday ya Ty Mellisa should come. Basi akawa anajikosha tu definately nitamletaaa.

Basi siku ya birthday akajua itakuwa bonge la party nini, kufika kule wala hamna party kumbe ni kibirthday cha kishkajiiii. Yupo mama Mellisa, Mtu mwingine mwanaume ambae Ty anamuita babu, basi na yeye na Melissa. Sasa mama Ty akawa hana rahaaa kisa baba Ty hajaja kwenye hio birthday.

Ndo yule babu akawa aamwambia sasa mama Ty, ni mtoto wa dada ake wa utooni alimzaa like akiwa 16, it is a pity nae kazaa akiwa 17, laana hizi zinakuwa zinatambaa vizazi mpaka vizaziiii. Akawa anamwambia na fact kwamba yeye mlezo mda mwingi hakuwepo akawa anamuweka boarding schools ilichangiaaa. Na hayuko comfortable Ty kjlelewa na mama yake. Ndo maana ameacha kazi yake na kurudi kuishi bongo for good na kufanya biashara zingine japo anaimiss kazi yake ili amlee Ty na kuhakikisha hakai boarding.

Akamuuliza kwani ulikuwa unafanya kazi gani? Akamwambia alikuwa Pilot ana fly commercial za South America, na Uarabuni huko. Akaleta albamu. Akiwa kwenye uniform zake toka kijana mdogo. Japo hapo alikuwa bado kijana pia 40 tu ana uzee gani?

Wakiwa kwenye story ikaingia sms. Baba Mellisa kafumaniwa hukuu, kakutwa na ule mchepuo guest na mume wa ule mchepukooo. Uzuri yule mume mtu kamchukua mkew wakaondokaaa. Pole shogaaa. Mmmmmhhhh! Akamwambia yule babu Ty i have to go somwhere kuna emergency. Akamchukua Melissa wakaenda nyumbani.

Kufik kamkuta mtu kakaaa kavurugwa si kidogo. Akakaa tu kimyaaa. Basi baa Melissa akamwambia " i know hapo moyoni kwako you are dancing Azontooo, azontoooo, kwa haya yalionikutaaa?" Akamwambia walaa, nimesikitikaa tu yani mtu mzima mwenzangu kukutwa na tukio. Ila usijali sababu mumewe hajamuacha umuoe Mungu ni mwema anaweza kukujalia mume akafa mkaoanaaa, kesho pia siku. Baba Melissa akamuuliza roho haikuhumii hata kidogo? Akamwambia hata kwa mbaliiii, roho yangu ishakufa siku nyingiii nimebaki mwili tu. Baba Melissa yupo kwenye birthday ya Mellissa jumamosi siwezi kujaaa. Sio baada ya hili.

Akamwambia usinitanieee, utakuja vizuriii na utasherekeaa, nimekuvumilia mambo mengi sanaa ila sitokubali mtoto nae akuvumiliee. Utakuja, manake atae aibika buree ni mimi, walau wewe hata ukiaibika mpapa ulikula siku 39, hio 40 ilichelewa sanaaa.

Siku ya birthday baba Melissa akaja kwa aibu aibu, mama Melissa kama haoni, akaja na Ty, mama yake na babu yake, na vitoto kibaooo maana birthday ukumbini, la maana.Kina Anny, Sisca, ikabamba mbayaaaa! Basi watu hawakosi kunongonaaa, mtizame kafumaniwa juzi hana hat hayaaa, mkewe mzuriii, kaenda kufumaniwaaa na kijitu nyuma hakichezi mbele hakitikisikiii. Mwingine mbona wametengana vyumba siku nyingiii? Basi na ya kuzua humo humoooo, chumvi kibaooo.


Party ikaisha wakasambartikaa. Jpili akawa kampeleka Mellisa marrybrown kama ratiba yao. Akaja babu Ty, kama coincidence, baadae katika maongezi it is not coincidence nilimtuma Ty amuulize Melissa this sunday atakuwa wapi. Hahahaaaa! Wakachekaa. Ndo akamwambia nimesikiaaa kuhusu mumeo, thought you were hapilly married. I am not even married achia hio happily! Basi akamuuliza kwa hio i can get a chance with you, you know! Mama Melissa jibu likamkwamaa chezea kutongozwa uzeeni. Akamwambia nitakujibu.

Ikawa busy busy na chatting, Captain ana mkeep busy mbayaaa. Akaenda kuwapasha mashosti zake, wakamwambia weeeee, hio bahati yake Mungu kampa asilaze damuuu. Akubaliiii. Basi captain anamtumia maua kazini, anaandika just because it is tuesday! Mmmmmmmh! Siku hio wametoka kazini kapitia nyumbani kwa captain, Captain akataka mzigoo, akashindwa kutoa, miaka kibao ya kulala na mtu mmoja si midogo mjue.

Captain anamhakikishia haina shida i will wait till you are ready. Sina harakaaaa. Akamrudisha nyumbani saa 5, Basi akashuka akampa mateeee, aarudi wenye gari. Mama Melissa akawa aganda malangoni, kapigwa butwaaa la maraha. Kugeuka anakuta pazia liko wazi baba Melissa anachungulia.

Kuingia anamkuta kafuraaa, oooh hata kama tumekubaliana kudate sitaki udate na mwanaume huyooo! Khaaaaa! Akamuuliza mbona mimi sikupangii? Oooooh aina hio wabaya sanaa, siku mbili atakuoa afu mtaninyanganya mwanangu. Naomba uachanae nae mara mojaaaa. Alamuuliza you jst saw him from the window utajuaje hayo yoteee? Nimejua tu, call it basic instincts, mimi naweza kutoka na mtu yeyote coz najua majukumu yangu in the end narudi humu ndani au sirudiii?. Akamwambia hayaaa, moyoni akajisemea huna nyimbooo babu weweeee.

Siku hio ametoka kumpa Captain mzigooo, afu mzigo ulikuwa mtamujeeee, karudi home saa 4, anakuta vase ya maua, akaguna, baadae baba Mellisa anamletea dinner, anasema kaipika yeye kwa kuangalia you tube. Akalaaa kwanza moyoni akajisemea leo ndo napewa talaka nini kimoyomoyo akaangalia tu. Baaada ya kula anamwambia nimekaa nimetaakari na kuona turudishe ndoa yetu! Khaaaaaaaaaaaa! Kwasababu ulitoa mimba zangu, na mii nilikuaibisha kwa kufumaniwa now we are EVEN, tusameheane, tuanze upyaaa, i am a changed person, sitokufanyia drama tenaa, walaa kuleta attitude. Khaaaaaaa! Moyoni akawaza tu i thought i will never live to see this day, now it is finally here, it is not even worth it. Akamjibu tu TWO WRONGS DONT MAKE A RIGHT! We are just two wrong individuals who we have squandered our lives our way, and hurt other peope in the process, like the children in the abortions, mume wa mchepuko wako, the graduate kid, the list is endless! We are evil!

Baba Melissa yupo hio mke wangu imepitaa, we could atleast try. Angy akasema noooo, you always draw the worst of me out, im done. Hii ni side effect ya kufumaniwa tuu, kaa kidogo you will realise it is just a whim, itapita you will want to do something else.

Baba Melssa akamjibu it is the Captain huh! I am not loosing you without a fight. I a, changed you will see. If i won you over once winning you again will be piece of cake.

Anny baada ya kuugua na kujinyoosha, Mangi akampigia simuuu, nakuja jioni leo baby wangu. Any akamwambia usijeeeeee, usijeeeeee, chonde chonde naumwa mwenziooo. Mangi akamuuliza unaumwa nini? Ndo nakuja kukupeleka hospital! Anny yupo usijeeee, nachoumwa sio cha hospital, naumwaaa mashetaniiii mwenziooo. Nahisi maruhani yanataka kunipandaaa, nitakula tu kitimoto yatopoaaaa!

Akawa kajipumzisha usiku anarudisha nguvuuuu! Akawa kashika simu akaona status ya mangi whats up kaandika KIBOKO YA ANNY! Khaaaaaaaaaaaaaaa! Mxiuuuuuuuuu! Yaani huyu Mangi nimempa ushindi wa mezaniiii, anajitia mpana kama ubao wa chapati kuweka status hiii? Mmmmmmmmhhhhh! Akasema huyu Mangi anatafuta kifooo huyuuuu. Khaaaaaa! Kiboko ya Anny! Yani yeye ndo kiboko yangu mie? Thubutuuuuuu! Labda kama sio mtanga mieeee! Nitamshikisha adabu huyu Mangiii, nitampa mambo aka atamuita mama yake mzazi. Lakini sio leo wala kesho si kwa kichapo cha juziii, mpaka nahisi nimechomekwa kijinga cha moto huku chini. Ngoja nipone nikamshikishe adabu.

Akamchokoza, Mangi jamani status gani hiooo? Mangi yupo ndo hivoooo! Mpaka umeomba poooo! Hahaaaaaa! Mangi anajitia shababi Anny anamwambia ujue Mangi nimekupa ushindi wa mezaniii? Mangi anajitia kidumeee. Aaaaah wapi wewe Anny, nimekupa mambooo mpaka ukaw anasema Mangiii nihurumieeeee, sirudiii tenaaa. Au ningekurekodiaaa! Any akabakia haaaaaaa! Manake kweli alisemaaa hayo maneno si uongo. Mmmmmhhhh! Akamwambia basi toa hio status. Mangi aksema poa.

Kesho kakuta kweli katoa, ila kaweka ingine TEMINATOR! Hahahaaaaaa Anny akawaza tu huyu mangi anatafuta kifooo tuuuuu. Sio kwa dharau hiziiii. Ila bado kiuno kinaniumaaa, ngoja nimuache aenjoy while it lasts. Anny nae akaweka status TERMINATED. Loooo! Mangi akampigia, naonaa umekubali matokeooo. Anny akamwambia ndio mpira dakika 90, ulishindaaa. Basi Mangi mbichwaaa huoooo.

Wakawa wanaonana na Anny for dinner, lunch, ila mechi, Anny haachii. Basi Mangi anamwambia nipeee takupungiza doziii. Hahaaaaaa! Kumbe Anny anafanya maandalizi ya kufa mtu kimya kimyaaa. Akaenda kwa shangingi moja shoga amerudi bongo baada ya kuuza mpapa huko Beunos Aires, Rio De janiroo, Amsterdam, Hongkong na Doha kwenye macassino. Akamwambia naomba ni brush skills zangu, nataka kuua mie. Mmmmmmh! Shoga akamuuliza umepata waziri mkuu au makamo wa raisi sio kwa maandalizi unayotakaaaa.

Akamwambia ujuzi wangu uchanganye na wako, na hilo body lako, aaaaaahhhh just one word MURDER! Hahahahaaaaa wakachekaaa. Akamwambia tu, nilivokuwa Hongkong nilikutana na Geisha mmoja wa Japan mbibi, akanipa elimu inaitwa sexiology, elimu adimu sanaaa, walaaa sikupi yote nakupa toneee tu na hilo toneee ukilitumia vizuri utatajirika, ama kama ndoa utatangaziwa mpaka uzichokeee. Mmmmmh! Akasema nipe vitu Shifuuuuuuu!

Akamwambia unafanya vile yale yale ya siku zote you just do them differently! More professionally. Kama Maiki wengi wananyonyaaa, Maiki hainyonywi sababu uliinyonya unaibana mdomoni na unarestrict mvt za ulimi angle moja, maiki inalambwaaaaa! Tobaaaa! Na strokes za ulimi ukiwa unailamba lazima ziwe controlled! Haaaaaa! Anny akasema ama kweli elimu haina mwishooo.

Sensei shifuuu anaendelea kutoa somo, na kuna hii angle hapa kwenye dudu mwanaume akikaribia kukojoa we gusa hiviii minyuaa hivi, hakojoiiii ngooooo! Ni very sensitive ukikosea kidogo ataumia afu atakupiga you have to pay attention, do it once, do it perfectly. This gives you total control of the game akojoe saa ngapi unavotaka wewe. Mmmmmh Anny akajisemea Mangi umekwishaaaaa! Hahaaaaaaa! Akampa na technic ingine akiwa anakojoa unambania K kwa rythim 1,3,3,2, 1,1,3 hapo lazima aimbe Haleluyaaaaa! Hahaaaaa! Anny anasikiliza tu. Na kuna hii angle ya sikio watu wanakosea kuilamba, hailambwi unagusa gusa tu na ulimi kwa mbaliii afu unatumbukiza ulimi wote sikioni kwa mahesabu makali, ukimgusa na ulimi mara hizi inayofuata tumbukiza owteee, lazima apige keleleeee. Mmmmmh! Tobaaaaa! Maskini Mangiiii Anny akawa anawaza na kuwazuaaa. Na hizi sehemu ukimgusa umemaliza na umguse kwa wakati huu, kwa mahesabu, ukifanya hiki unafanya na hiliii. Khaaaaa! Akamwambia kafanye hivo kwanzaaaa, akona ambavo haiwezekani rudi nikupe na zingine , hizi si za kumuua? Ukija tena nitakupa za kumfufua. Haaaaaaaaa! Anny akamshukuru Shifuuuu!

Kufika home anakuta mangi kaweka status YOU CAN RUN BUT YOU CANT HIDE! Hahahaaaaa! Akasema dawa yako imekwivaaaa! Akampigia na kumuomba official rematch! Kule kule hide away Nungwiii. Mangi akamwambia ujiandae unyweee diclofenac kabisaaaa! Hahahaaaaaaaa! Moyoni Anny akjisemea Mangi unajishaua utakunywa Buscopan safari hiii. Rematch ikawa imekubalika Ijumaa mpaka Jpili. Mpira sio dakika 90, sfari hii mpira siku 3.

KLM akamwambia Sisca, i want us to have a baby! Sisca yupo eeeeeeh! Yeah tumekuwa wakubwa, we should stop this dating now. Uje uhamie kule kwangu, then we have a babies maisha yanaendeleaaa.

Akamuuliza Wedding! Any signs for it. KLM akamwambia tu kiukweli i am scared of marriage! It is a very dangerous thing. Just a piece of paper but very dangerous. It changes beautiful love to things you can never imagineeeee . It has a way to change peoples hearts.

Kama sahivi i am happy, beyond happy, mpaka natamani leo kesho unazlie watoto we start a family. Everything i want is right here, can never be any happier. The minute nikisema tukasaini ile karatasi you will become a different person, and i may become a different person. It is very risk.

Lets stay like this, pleaseee! Hapo anamnongonezaaaaa, sawa baby wangu, i love you so much. Utanipeleka kwenu, wanijue you know! Sisca akwa kashikwa na butwaaa, she still wants a wedding and she loves him, akawa hajielewiiii. Huku KLM anazidi kumuonesha mahaba. Ikabidi tu akubali kwa pale, mechi kali ikigwaaa, si mnajua tenaa mechi zikiwa na feelings.

Asubuhi akajitafakari, kazini akanunua the after pills, akaamua tu kununua pakti zimaaa. She still wanted a wedding. Akawa kaziweka kwenye pochi anatembea nazo. Siku hio Usiku wamelala na KLM akawa anamtuma amchukulie floss kit, kwenye pochi KLM, akamwambia huna adabu kweli unanituma kabisaa mumeo.

Akamwambia utakuwa hupati cha asubuhi jitie jeuri tuuu. Basi KLM anavopenda morning glory akajiinua akaenda kwenye pochi, akawa haioni na giza lile, akamwaga vitu vyote kwenye pochi, akaiona akaona na dawa! Akamuuliza unaumwa? Sisca akstuka dawa zangu za malaria kashainuka kitandani, KLM akawa kazishika sasa zile dawa, kitendo cha kukurupuka KLM ngastukaa akawasha taa, akazisomaa. Tobaaaaaaaaaa!

Akamwambia kumbeeee, ndo maana nakufanya kila siku ya hatari ubebi mimba, nafatilia kalenda kwa makiniii, kumbeeee. Akamuwekea mezani, akavaaa, akaondoka zakeee. Ouchhhhhhh!


ITAENDELEA SAA 10 JIONI, NA KUISHA SAA 4 USIKU WA LEO. Nimekomaaa kutoa story ndefu hiviiiii! Itabidi ninywe diclofenac! Hahahaaa!
 
Nimepatwa na mashaka kuwa hii story kuna mtu wa Bongo Movie hapa JF anacopy na kupaste script...tutaona movie soon bila lara 1 kula jasho lake!!
Umeonaaaaaa! Ila kama ipo ipo tu, kama hki yangu itanifata hata kaburiniii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom