Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

Tatizo la kaka yangi mangi n wasi wasi ....kashazoea wachaga wenzie shep ngum hatuelewek hapo anajua hii ndio saiz yangu mech fresh ...sasa kakutana na kitu kilainiiiiiii ataanzaje
 
Tatizo la kaka yangi mangi n wasi wasi ....kashazoea wachaga wenzie shep ngum hatuelewek hapo anajua hii ndio saiz yangu mech fresh ...sasa kakutana na kitu kilainiiiiiii ataanzaje
Hahahahaaa!
 
Bora wewe team Mellisaa, naona watu wengi humu wadau wa mfumo dumeee, kidogo kidogo utakuta wanaume oote team KLM. Hahaaaa! Mangi mwenzangu hana mashabiki kabisaaa.
Teh.. Nahisi mangi ni mara yake ya kwanza,haiwezekani kila ikifika mda wa mechi anazingua
..
 
Mbona akijaribu kwingine anawezaaa
Yaani nashangaa humu hamna hata mtu mmoja aliewahi kutokewa na hio situation??!!! Mimi ilishanitokea kabla ya tukio mikwara mingi kufika uwanjani bila bila! Ila replay haikuwa na kwere....
 
Yaani nashangaa humu hamna hata mtu mmoja aliewahi kutokewa na hio situation??!!! Mimi ilishanitokea kabla ya tukio mikwara mingi kufika uwanjani bila bila! Ila replay haikuwa na kwere....
Hahaaaaaa inatokea sanaaa. Watu wanajikoshaaa. Hata kubanwa tumbo inatokeaga na inaaibisha kishenziii.
 
Team KLM ndo mpango mzima...mihogo na karanga wiki nzima afu anatoa point 3 za bure Mezani,how can a man give it up so easily??ht kujitutumua kufanya warm up,alambe lambe chiu,apime oil...kapewa ulimi na vidole vya nn ss??kaniuzi sana Mangi,angekua best angu lazma ningemlamba kibao cha uso azinduke...sio kwa uzembe huo
Umuache kaka yetu Mangiii. Ama sivo wachagga tutaandamana
 
Umuache kaka yetu Mangiii. Ama sivo wachagga tutaandamana
Andamaneni tu maana hamna namna,ila muandamane kuelekea kanda ya ziwa na Mangi msimuache mje nae apewe semina elekezi,maana hii ya Magufuli ya atajielekeza humo humo naona imemshinda...
 
Saa 3 kweli nimejua inanichukua 1 hour kuandikaaa. So hii naiandaa saa 1 na nusu flani, saa 3 naachia kitu hewani.
Mhhh kwa hiyo ni papo kwa hapo story?? Yani unaweka wahusika wako unaanza kutunga kipi kifuate ndani ya saa na kitu kinatoka mwake hivi?? Wewe KLM haswaaaa......
 
Mangi Kazoea Mademu Wa Shilingi Mia Mbili Kakutana Na Demu Wa Milioni Anashindwa Kudinda.
Mimi Ningepiga Kazi Mpaka Achore Tattoo Ya Jina Langu Kwenye Paja.
 
Let as not ask for the moon we have stars.


KLM akajikosha kosha pale, umri na nini ndo vimemfanya ashindwe kumwaga njeeee. Sisca akajikalia kimyaaa tu. Ikaanza formula ya calendar, siku za hatari lazima KLM afanye maarifa ale mzigooo, kavu kavu. Sema Sisca mtoto wa mjini akaiuza mechi kesho na aamkia 72hrs pills

Ila kiukweli kwa KLM alifika beiii, leo kesho alikuwa anamngoja amtangazie ndoaaa. Alitamanii big day ifikeeee, aaaaawwwwww! Akawa anangoja tuuuuu. Kwa hamu zoteee. Mama mkwe nae anamta ndimu kama nini mwali wangu, mwali wangu mpaka rahaaa.

KLM yakamshinda akamuuliza hivi wewe mwanamke hutamaniii ndimu ndimuuu hivi, embe mbichi, mabungo kama wanawake wenziooo! Sisca akacheka tuuu. Akamwambia hapana mi natamani burger, pizaa. Akamjibu ahaaaaa! Basi sawa.

Anny akaenda kwa Angy kumtaka shauri la siri Sisca asijue, kamuapisha kabisaaa hatouza cd. Akamwambia shogaaa mwenzio nimekwishaaa, acha tu usinicheke. Angy anamwambia nambie naweza kuwa wa msaada kwako.

Mwenzio nina bwanaaa, japo haeleweki kanivunja maini kabisaaaa, kasindwa kudindaa. Angy akabaki mdomo waziiii! Haaaaaaa! Hajadinda kwako? Annn akamjibu ndio shoga mara 2 sio moja. Angy yuko tobaaaa!

Yaani shoga nimechokaaa, sijui natisha siku hiziii maana wanasema ukitembea sanaa na mzee anakuzeesha, sijui nanukaaa, mpapa umevundaaa hausikii udi wala marashi ya pemba, sijuiiii. Na kinachonitishaa huyo alieunawa mzigo mshamba ,shamba flani hivi, nawaza kama yule pimbi kanawa, mtu classic itakuwajeee? Naogopa hata kujaribu na mtu mwingine asosinda na yeye si nimekwishaaaa.

Angy akagunaaa mmmmmmh! Labda ushamba wa huyo mtu umechangiaaa. Maybe alipanic au hawezi levwl zako, embu jaribu na mtu classic uone kama itakuwa bila bila au vipi. Anny akamwambia lakini i like this dude, he is not my style, ila imetokea tu nimemzoeaa, na ennjoy kuwa nae vibaya mnooo. Ana mambo yake ya ajabu ajabu nayaona amazing. I just like him a lot. He makes me wanna be myself. I dont try so hard arround him. Mxiuuuuu!

Angy akamwambia basi kama ndo hivo stick with him, kwani kuna tatizo? Anny akamjibu yapo mengi kwa kweliii. Kwanza kabisaaa hajui kuvaa. Angy akamwambia unamuelekeza tu, sometime unamnunulia wewe, mbona inarekebishika tu hio. Baba Melissa mnamkumbuka enzi zake, sahivi wanakula wengine jasho langu, dunia hiii. Unamfanyia shopping kama umeamua hio sio issue. Nguo sio mwili au ngozi useme hawezi kubadilika. Maybe kama ana bad genes inaweza kuwa issue.

Anny akamwambi maneno kuntuuu hayooo, sikuwaza kabisaaa, lakini hili la kutokudinda inakuwajeee? Angy akamwambia kama ingekuwa mimi ningejitahidi tu. Manake ushajua tatizo panic, basi kwanza unamwambia tuwe marafiki tu, kumuondoa kile kimuhe muhe cha mechi, siku hajatarajia kabisaaa, unatengeneza mazingiraaa, mbona tadindaaa tu. Na mazingira yenyewe sio ya mechi kaliii, maandalizi nini, mazingira tu ya maongezi wawili, unampa mistari ya kimaosha na kumelewa, ishu moja inaanzisha ingine, mara umemlalia, unampa mate atadindaa tuuuu. Hahahaaaaa!

Anny akasema pambe sanaaa hio. Nitaifanyia kazi ila Sisca usimwambie. Angy akasema walaaa simwambiii, naona KLM anakazana kumtia mimba, ndoa hatangazi yu
E nae anamuweza mwenyeweee! Hahaahaaaa! Wakachekaa.

Anny akamcheki Mangi, kumjulia hali na nini, Mangi anajitutumua kulilaumu tumbo kuomba rematch. Anny akamwambia lets just be friends, tumejuana mda mfupi sanaa, tuwe tu marafiki wa kawaida. Mmmmmmh! Mangi kilimuuma kurudishwa kwenye frendship zone sikidogooo. Akavumilia tu atafanyajeee.

Basi siku hio Mangi akamuaga ananeda Zanzibar hide away Nungwi, pesa ndefuuu. Anny akamwambia nichukulie chumba na mimi nikusindikize. Mangi anakufa na tai shingoni chumba cha nini tulale wote tuuu. Akamwambia aaah rafiki acha zako we nichukulie na mimi. Mangi akagomaaa akadai hela hanaaa.

Anny akamwambia basi sawa nakuja kwenye humba chako ila dont try anything, we are friends. Mangi akamwambia mimi kama kawaida yangu ngamia wa maoneshoo tu, sina effect. Mmmmmmh!

Wakaenda Zanzibar, hide away nungwi pambe sanaaa. Anny akawa kajiachia anaoglea tu, Mangi yupo kazinii. Jioni katoka kazini jua linazama kamkuta, kajilazaa kwenye zile beach beds, wakaanza kupiga story. Hapo yupo na bikini tupuuu.

Basi story za maishaa, mama yao wa kambo alivokuwa anawatuma shamba afu mwanae anabaki nyumbani. Jinsi alivokuwa nasoma kwa uchungu sanaaa. Jinsi kaka yake alivokuja mjini akawa dereva wa ubalozi wa denmark na kumsomeshaa. So many tjings ambazo hakuzijuaaa.

Jua likazama kigizaa kikaanza, anny akaenda kujibanza kwa Mangi, madai anaogopa chunusi, baharini paleeeee. Sasa Mangi story zimemnogeaa, ana hamu aendelee kumsimulia , manake akawa kashaanza kumzoea. Anny nae anamsimulia siku ya kwanza kumuona alisema kaka mzuri, yule ila mshamba mshambaaa. Hahaaaaa! Mangi akamwambia kwa hio mimi mshamba? Anny akajibu kidogo sio sanaaa. Wakachekaaa.

Basi Mangi akawa anamwambia siku ya kwanza kumuona alijua mmarkani eti, maana alikuwa kavaa hills ndefu, ananuki vizuriii, hadi akauliza dada yule nani, akaambiwa mke wa Dady akae mbali, kila akijitahidi kumsahau anashindwaaa. Kila akijitahidi kumsahau anashindwaaaa.

Basi Anny akaanza kumuwekea mguu, sasa si tupo wote hapaaa, marafiki wenyewee, anampapasa papasa, dreams are valid ujue anamwambia Mangi, umeona the gods delivered me to you kwenye bikini. Anampapasa pasa hapo.

Mangi akaona sas huu uboyaaa, akajaribu kumpa mateee, akapoelewa vizuri tu, mate mate, katikati Anny anamuuliza kimahaba, rafiki vipi tenaaa. Ndo anamtia mangi mzuka mbayaaaa, huyu hapa kadindaa ni hatariiii. Anny akataka aingilie shoo aicontrol yeye akasema hakawii kubanwa tumbo huyu ngoja nimuacheee.

Sasa full mipapasanooo, Anny yeye anatumia nguvu kidogo na technic za hali ya juu kama kumsukuma mlevii, anasiki mani mkono upo kwenye bikini. Akasema leoooo. Mambo yameivaaa. Mangi anamwambia twende chumbaniii, Anny akamjibu hapa hapa. Mangi hakutaka mjadala zaidiii, kaipindua tu ile bikiniiikashusha bukta kala mzigoooo.

Tofauti alivotegemea he will bust quick, Mangi alilast, weeeeeeeeeeeee, mpaka akaenjoy. Kuja kumaliza hoiiii. Wakajilaza kwanza pale pale si kwa shughuli ya Mangiii. Anny kiranga chake si akamkalia mangi kimchezo mchezo. Mangi kadinda tenaaa kampa kingine cha kukaaa, hakuna kuvua bikini wala nini mwendo wa kupachua tuuuuu. Anny akawa ana hana hamu na Mangi.

Wakahamia chumbaniiii. Mangi kala mzigoooo. Usiku anashangaa Anny anaguswa guswa mzigo unatakiwa. Mangi nuksiiii sanaaaa! Hana hamu naeee. Alfajiri mzigo tenaaaaa. Akawa hana hamu na mangi kabisaaa. Akashukuru walibook siku moja kesho wanarudiii.

Si kwa kichapo kileee. Mani hapo confidence level 200% Anny kufika mjini ikabidi anywe diclofenac.

Huku kwa Angy mwaname anamwambia mummy i have a boyfriend! Haaaaaa! We mwana weeee! Akamwambia ndio. Akawa hajampatilizaaa. Siku ingine akamwambia ujue Ty hajaja shule leo anaumwa can we go to see him? Mmmh! Akamujliza who is TY akamwambia my Boyfriend. Khaaaaaaa!

Akamuuliza why do you think Ty is your boyfriend? Akamwambia one day we learned face painting, teacher said we should paint practise painting people. Every body didnt want me to paint them, my fellows were painting their friends and i was alone, i felt like crying. Then Ty sat on my space and said i can paint his face anyway i want.

Then i didnt paint him well, i was scared he will yell at me, but he said it is beautiful and i am a good painter. Mmmmmmh! Mama mtu akawaza makubwaaa! Akamtega tu so he is your boyfriend because he let you paint his face

Yes! And he always come to say hi to me on break, and gave me a flower one day, invited me to his birthday, showed me his daddy! Mmmmh! Mama mtu akazidi kuona majangaaaa! Akamuuliza which grade is Ty akawambia grade 1, wakati Mellisa yupo senior nursery. Akabaki tu katoa machooo!

INAENDELEAAAAA KESHO SAA 4.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom