Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

Nipo napikaaa! Mpaka nimedownload app ya Jf kuwapa utamu tuuu, kwenye hiki kimeo. Sijui mmeniweka msukule.
The cooking here sucks.....maliza basi mama au usiwe unasema utaendelea saa ngapi manake unatuweka roho juuuu.....
 
lala 1 hujawahi leta udaku mtamu kama huu tangu nianze kufuatilia post zako. nimekua addicted na hii story aisee
 
Ya padre ni cha mtoto kwa hili zaga la valentine mkuu. Sorry,ni mtizamo wangu lakini.
 
lala 1, achana na mambo ya kupika utupe ubuyu. tafuta hausigeli afanye kazi zako zote sie tunamlipa.
 
The stuff that dream are made of!


Ikawa Anny anajiandaa na mechi kali, maana toka Daddy aondoke ni kitambo kidogooo si mnajua tenaaaa, mambo ikawa kayamisi, mpaka kumpa mchaga mechi ndo mjue simba akizidiwa anakula hata nyasi potelea pote.

Akawa anawaza ikitokea kashindwa tenaaa itakuwajeee? Akajipa moyo haiwezi tokea bwanaaa. Siku ile tu ilikuwa na mambo mengi mchanganyikoooo. Mpaka mechi kaomba mwenyewe itakuwa kajipanga kapangika, mpaka katoa $100 na ushee kwa usiku mmoja itakuwa si bureee.

Akawa anajiandaa, akataka kunyoa brazillian, akakumbuka wembe nao unatoa mapele mapele sanaa, so akaamua kufanya waxing kabisaa Upanga huko kwa wahindi. Akawa anawaza Mangi akichemsha safari hii atanilipa hii 80,000 ya waxing haki tenaaa. Akanunua lingerie mpyaaa, bikini ya kamba 3 tuuuu, sidiria bustaaa. Akaenda na kwa sonara kusafisha cheni yake ya gold.

Ijumaa kufika akawa yupo tayariii kwa mechi kali ya marudianoo. Asubuhi kampigia Mangi, aseee Mangi usiyeyusheee, mimi nakutegemea ujue. Siwezi kuyeyusha aisee bae. Nishabook na kulipia kabisaa chumba hikoo. We ukitoka kazini pitilizaaa. Nikuletee nini? Mangi anajiongeza si mchezooo. Niletee chocolate, juice ya Delmonte, pringles na wafer. Mangi akatia nitumie sms mambo yenu wanawake siwezi kukumbuka vyote hivo.

Anny katoka ofisini huyooooo mpaka hotelini. Kavua nguo zote, kaogaaa, akaenda na kuogelea kwenye pool pale, akarizikaa. Akarudi sasa kufanya maandalizi ya maana. Chetezo chake cha umeme, kachoma udiii na kujifukiza kwa bibi wa kitosha, mjaa asili haachi asili.

Akavaa vile vikambaa, akawa kajilaza anasoma kijarida alichokikuta humooo kuzugaa tu. Mangi kaja moja kwa moja mlangonii, akataka kuingia, akasitaa. Akasema hata ngoja nifanye tambikooo kidogooo. Akawaita wazee wake, jamani wazee wangu, babu zangu wa baba na mama mliotanguliaaa, akawataja majina yao, naomba mnisaidie kijana wenu leo nisiaibikeee. Mama yangu huko uliko kama unaniona naomba unilinde leo jioniii. Akasema miiko ya kwao pale.

Kuingiaaa anakutana na mtoto kwenye vikambaaaa, tumbo likamkata traaaaaaa! Akajikaza kiume akaingia. Eeeeh nimeleta vile vitu, yani network ishaanza kukatikaaa. Akaja kuvipokea kwa madaha, mangi jicho limemtokaa si kidogo.

Basi Anny anafanya kusudi tu kupita pita mule ndani kumtamanisha tu mangi wa watu, mara aangushe vile vitu chini ainame kuviokota hapo kambinulia tipa mangiii. Balaaaaa! Mangi huku confidence level zinazidi kupungua.

Anahaha jasho linamtokaaaa! Anny akaja kumkalaia, akajua labda atamvua nguo ama vipi, mwenzie kafikia kufungua zipuuuu na kumshika mzeee! Yaani Mangi anachokaa formation aliopangaaa inavurugwaaa. Akawa sasa anadata hana maamuzi acheze 4,4,2, au atumie 3,4,4,. Tumbo likazidi kumkataaaa.

Anny akapiga magoti, afanye ibada za kitanga rasmi mambo ya shika maiki. Ile anasogeza mdomo, mangi akapigaaaaa subirìiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Akashangaaa! Mangi kainuka kabana miguuuuuuuu, hata kutembea hawezi? Anny anamuliza vipi tena baby! Katoka mbioooo mpka choooni!

Anny akabaki anashangaaaa! Yuko chooni huko anasikia mabomuuuuuuu! Ndo keshashikwa na tumbo la kuharishaaa tenaaaa. Tena lile lisilo na staha la papapaaaaaaaa! Anny anayapata mabomu tuuuuu!

Anny aksema maskini Mangi almanusura kujinyeaaaa! Hahahaaaaa! Akawa anacheka kwa masikitiko. Alitegemea kukereka ikawa kajichokea tuuuuu. Baade ndo anarudi, tumbo lilinibana bwanaaa, sasa nipo gadooo. Anny akamwambia poleeeee, Mangi anakuja kwa madoido zaidi ya yamoto band, kutaka tu kupanda kitandani akanasa tenaaa.

Ndo kukimbilia chooni tenaaa. Ametoka hoi, ama kweli tumbo halina adabu. Akasalimu amri. Leo sipo vizuri kabisaaa. Ikawa trip tu za chooni haziishii usiku kucha mpaka saa 7. Anny akamkorogea maji ya chumvi akamwambia kunywaaa. Ndo kidogoo kupata ahueni. Wakawa wamekaa tu, mangi kajifunga taulo hoiii kajilazaaa, maneno yamemuishaaa. Anamwambia kama umeboreka nenda tu dear.

Anamuuliza naenda vipi unamwa hivi nakuachaje sasa. Wewe nenda tu usijali kuhusu mimi. Mangi machozi yamlenga hahaaa! Anny akamwambia acha ujingaa, mi nipo hapa kukuangalia hali yako, asubuhi nakupeleka hospital. Basi Mangi anajitutumja najua nimekudisapoint sanaa. Anny akamwambia hamnaaa, kesho pia sikuuu nayo. La maana upone kwanza.

Saa 8 Mangi kaanza kuchemka homaaaa. Wamoto, zima Ac, anatetemeka. Akamwabia twende tu hospital hakulaliki huku. Kufika akambiwa ana malaria nyingi mnoo hawaelewi alikuwa anatembea vipi. Na kulazwa hapo hapo.

Basi akawapigia ndugu zake wakaja pale akaondoka zake. Mara ya pili bila bilaaa. Ikawa kaitisha kikao cha dharura kuwauliza mashogaaa, kwani ana ubaya ganiii??? Au kazeeka? Au hana mvutooo? Wakamuuliza vipi? Akawajibu tu nina matatizo sio madogo hata aibu kusemaaa. Wapo tuambie. Akawaambia siku nyingine labdaaa.

Baba Melissa karudi, ikawa washatengana vyumba, wanaishi kila mtu na mishe mishe zake. Akapona akarudi kama kawaidaaa. Akaja kuambiwa na mmbea baba Melissa ana Gf, msichana mbichiiii kamaliza chuo. Akamwambi basi sawaaaa.

Basi siku hio jioni alivorudi akamtania nasikia una demu mpyaaa, chombo cha maanaaa! Wambea washaniambia. Akachekaaa tuuu. I guess no country for old men, kabinti kadogo kadogooo. Basi anamwambia acha kabisaaa. Mzee nina wewe ndani, nje nikatafute tena mzeee, haihuu kabisaaa.

Siku nyingine Melissa akaja kumwambia mimi simpendi aunty mwingine, anakaa kwenye siti yangu kwenye gari ya dady. Ananiambia nimuite mama. Simpendiiiiii! I just dont like her. And she kissed dady on the mouth! Yaaaakhhhhh!

Angy akajisemea tu kimoyomoyo mtoto komaaa, ashamvulia chupi baba yako ndo mama yako wa kambo tayariii hivoooo. Ila akazuga zuga tu.

So kwenye kikao chao akawa kawasimjlia the girls hio ishu, wakamwambia wewe bado mdogo, date some body else. If baba Melissa dsnt want it other people do. Cha nini kiozee kwenye pichu wakati wenzie wanakitolea macho. If he is seeing other people, see other people also.

Akawa analitafakari hiloooo.

Sisca huku katika kukaaa kukaa na KLM siku hio akamshika mkono, akakuta vijiti! Anamuuliza nini hiii? Aka kaa kimyaaa. Naomba ukatoe hivi vijiti kesho. Nikija kesho nisivikute hivi jiti mkononi.

Akamwambia siwezi kuvitoaa, sindano zinanifutushaaa, na wewe wa kwanza kuchonga nikiongezeka hata gram. Vidonge vinanidhuruuuu. Akamwambia wewe huna hata mtoto mmoja unaweka vijiti ukija kukosa uzazi utamlaumu Mungu kweli? Mbona unapenda kurisky lakini?

Sisca akamuuliza nikitoa vijiti inakuwaje sasa? Maana mechi tunapiga kavu kavu, wewe si ulisema eti condom zote zinakubanaaa? Mara zinakupa rashes, ili mradi tu usivae. KLM akasema tena usinikumbusheee kabisaaa, ulikuwa unanivalisha condom wakati una vijiti mkononi.

Sisca akamuiliza inakuwaje sasa, utavaa condom? KLM akajibu hapana kama nilivokwambia zinanibanaaa. Mmmmmmmh! Tutatumia Calendar. Sisca akamwambia sijaridhia, calenda si salamaa, nipe mda nifikirie.

KLM akamwambia sasa mimi nakupa option toa vijiti, yutumie calendaa, njia salama kabisaa, au mimi mechi nasimamishaaa. Maana tushaanza kushindana humu ndani. Mimi nakushauri kitu cha afya yako afu unaleta ubishi usio na tijaaa. Kikipotea humo utasemaje? Sisca akakaa kimya moyoni akajisemea hujanibebesha mimba kipompiii namna hio, hakitoki kijiti wala chelewa.

Kesho KLM karudi kamkuta hana plastaaa, basi akasalimia, wanapiga story vizuriii, mda wa kulala kalala na boxer. Sisca akasema alivo mdhaifu hapakuchiii. Palikicha salamaa kabisaaa. Asubuhi kaoga huyo kaenda kazini.

Siku ya pili akaamu yeye Sisca kulala mtupu kabisaa, anamjua mdhaifu sana yuleee, hata kushtuka hajastukaaaa, kalaaaa fofoooo mpaka asubuhi. Huyo akaishia zake kazini kama sio yeye. Hajanuna story kama kawaida sema supply ya mechi kaisimamisha.

Siku ya tatu akasema atamtegaaa mpaka kielewekeee. Akalala bila nguoooo, usiku anampiga mabusuu, na kumshika shika ndo kwanza anageukia ukutaniii. Basi anambembeleza akamjibu tu nyege zangu ni psychological ujue, sababu ushakaa jambo nililokwambia haziwezi kusimama hata ufanyaje. Wewe katoe vijiti tu, hapo itakuwa umepress on vinginevo niache nilale.

Kesho akaenda kutoa vile vijiti. Karudi mkono unamuumaa si kidogooo. Alivokuja akaona bangage basi akaanza kuwa romantic, anakuja embu nione, pole baby wanguu. Akambandua ile plasta akakuta kidondaa. Wacha Sisca amuweke ngumi maana sio kumtoneshaaa. Pole baby nilikuwa nahakikisha hunichezei picha la x. Poleee kidonda kinatishaa.

Njoo hapa kitandani, akamwambia si kwa maumivu hayaaa. KLM anamwambia ujue ukiwa unaumwa unatakiwa ukae na bwanaa akuliwazee, njoo hapa uone kama utasikia maumivuuu. Akaendaa, akaanza kumpiga mabusu mabusuu, mara anashangaa mtu kasha dindaaa. Mmmmh! Mara anaanza kumvua nguo. Akamwambia sio kwa maumivu hayaaa! Kutaka kutoka kambanaa, akamwambia ukifosi kujitoa utaumia sio kidogo. Aaah bwana mi naumwaaa sitakiii.

KLM anamwambia mambo yashaharibika siwezi kupata blue balls we upo, it wont be fair, nakufanya taratibuuuuuu okay baby. Very careful hwezi kuumia. Umensikiaaa. Ana seduce, Sisca akalainkaaa, ila akkumbuka katoa vijiti. Akamkazia labda ukachukue condom. Mmmmmh! Akamwambia sikizaaa, namwaga njeee. Niamini mimi namwaga nje, nishawahi kukudanganyaaa? Sisca akawa kaelegea, akaumuamini. Huku na huku kajisahau, kamwaga kila kitu ndaniii.

ITAENDELEA SAA 3 USIKU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom