Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

The devil is not so black as he is painted!

Kufika kule hotelini wakamkuta hoi bin hoiii. Ndo kumhudumia supu na nini, ndo kusimuliwaaa sasa, kisa na mkasaaaa. Kila mtu jivcho lilimtokaaa, maneno kumkaukaaaa, maana lawama mda huu hazisaidii tenaaa. Ila ilikuwa kati ya siku mbaya sanaa kwao wote. Wakawa tu wamekaaa hakuna anaesema lolote juu ya chochote. Sisca huku kubwa la maadui Nerd linampigia simu, anakata. Manake mpaka ya kuliwa tigo akayaona madogoooooo. Badae akatumiwa text kwa hio hayao maneno kweli si ndio? Aibu zako umekosa mpaka la kujitetea. Akamjibu kifupi tu, you know me! Mimi mnyonge baba, la kusema sinaaa. Namuachia tu Mungu wangu aniteteee.

Wakawa wanashinda tu na Angy pale hotelini kila siku. Akaanza kupata nafuuu, sema sasa nuru yote ilimuondoka maishani. Akawa kama mzimuuuu. Hana hamu na chochote. Wakamwambia rudi nyumbani wewe, mwanao anakumiss, jikaze tu inabidi maisha yaendeleee. Akawaambia siwezi naweza hata kumuwekea sumu yule jibaba kule. Wakamwambia be strong do it for your daughter. Akawa hatakiii.

Wiki mbili zikaisha Sisca amerudi kuwa single and lonely, Anny bado hana direction, Angy bado anakaa hotelini kajificha. Ikawa maisha ya kuishi kula tuuuu, chezea stress. Siku hio wakaenda hotelini jioni wametoka kazini wakaambiwa kaondoka leo na funguo karudishaaa.

Wakasema kaenda kujiua nini? Mmmmmmhhhhhh! Wakawa wanamtafuta kwenye simu hapatikani, wakaona wakaseme tu ukweli kwa mumewe , kama ndo kwenda polisi au vipi watajua huko huko. Kufika getini wamekaa dakika kumi hawagongi wanaangaliana, kengele kama ina miba.

Mwishoni Anny akagonga, akaja dada, si anawajua akawafungulia, wakamuuliza baba yupo? Akasema baba hayupo but mama yupooo! Wakaangaliana, hata hawakumuuliza zaidi wakamfata huko huko chumbani, wakamkuta kalala. Wakamkurupua si kwa kuwatia jamba jamba kiasi kile. Akawaambia nimeona nirudi kumlea mwanangu, mambo ya dunia hii huwezi kuyawezaaa.

Wakampa tu poleee, kuwa yatapitaaa, asiwaze sanaa. Akawaambia tu toka nimerudi siwezi kumuangalia mwanangu machoni, naona kama yule mtoto ananiangaliaaa. Yani nimejaribu 3 times sijawezaaa. Akaambiwa itaisha tu hio hali, ajitahidi kujisamehe, yeye Anny mpaka kesho anamuota Dady usikuuu. Akasema kasheshe.

Wakamuga pale, hao kila mtu akaishia kwake kudeal na ya kwake. Jioni mumewe karudi akaanza kubwatukaa ulikuwa wapi umenisumbuaaa, kukutafuta , mbona hujielewi wewe mwanamke, ndo tabia gani, akato zile karatasi chini ya mto akampatia. Mmmmmh! Sura ikamsawajikaaa. Akajikoshaaa si karatasi tu kwani kitu gani?

Akamwambia sio kitu, ila shukuru Mungu wako alie hai, sijazipeleka kwa mumewe, Mungu awasaidie mzae watoto wa kiume alfa lela ulela, na wote waje kuwa mashogaaa na wangese kwa jinsi mlivoninyanyasa maishani kwangu. Mimba yako hii ya mwisho nimetoa alikuwa mtoto wa kiumee, na nishatoa zingine 3 kukuendekeza na upuuzi wako wa mtoto wa kiumeee, ndo nakwambia mimba sitoi tenaaa, wala sizai tenaaaa. Zaa na huyo aliezaa vidume vitatu, ikishindikana zaa na mke wa Devi si ana vidume 4, ukishindwa zaa na mama yako mzazi si ana vidume 5 yule.

Akasikia malaya mkubwaaa, umetoa mimba yangu afu umerudi kufanya nini? Kofi la kwanza. Hivi unaona umenitawala sanaaa? Umetoa mimba zangu ngapi, akawa kama anaenda kuchukua kitu sebuleni, akasikia tu kishindo koridoniiii kutoka kamkuta akaanguka chaliiiiìiiiii. Kumtikisa baba Meliisa? Baba Melissa kimyaaaaa! Akaona sasa biashara over, akawa kakaa tu pembeni amejishika kichwaaa.

House girl ndo kutoka nje na mtoto, baba anakufaaaa, jamani baba anakufaaaa! Majirani kuja ndo kumzoa zoa yule baba, kumkimbiza hospitali, mkewe anangaa tu sharubuuu.

Huku Sisca kufika anamkuta kubwa la maadui nje kwake. Akamkaribishaaa. Akamwambia nimefanya uchunguzi nimejua yale maneno sio ya kweliii. Akamuuliza umejuajeee, MBA ndo kalwambia ya uongo sio rahisi akane maneno yake. Akasema bwana mimi nilitaka kukuacha semaa roho ikawa inaniuma sanaaa, nikasema hata kama kweli poa tu. Ulifanya kabla hatujakutana so it shouldnt be an issue. Ila roho ingine ikawa bado inasitaaaa.

So nikaamua kutuma screenshot zile kwa mkewe. Mkewe hakunijibu kitu, ila baada ya wiki moja wakaja nae mguu kwa mguu, mkewe kakaaa kimyaa jamaa anajielezaa, kajieleza yoteee, kuwa ni uongo mtupuuu, alitaka tu nikache aendelee kukychezea. Sasa sijui mkewe kamfanya nini? But i believed him, nisamehe baby for doubting you.

Akashukuru tu Mungu kamtetea kwa kubwa la maadui, manake nanuzee huu angempata nani tenaaa. Ikaingia sms baba Mellisa kaanguka tumemkimbiza hospital. Mmmmmh, akamwambia kubwa la maadu ngoja anende regency mjadala utaisha siku ingine. Kubwa la maadui akamwambia twende nikupeleke.

Anny anaendelea kusaka danga la maana, holaaa. Huku lawyer anamuomba date kila siku, siku hio na haya mambo ya Angy akaona tu amkubalie walau usiku usogee maana kama kuna msibaaa hukuuu. Lawyer kaja kachomekea shati kwenye jeans na sandals za wachaga! Mmmmmmh! Akasema kazi ipooo. Akamwambia njoo tu tule hapa hapa, tupike tule.

Basi akamwamvia lawyer apike hata mayai, manake yeye Anny hajapika mda sanaa, hana uhakika kama hata anakumbuka kupikaaaa. Lawyer kapika ugalii laini na kitimoto roast. Basi anamsimulia kwao huko kijini Machame alikuwa anawapikia wadogo zake, mama yao alitangulia mbele za haki wakiwa wadogo sanaa. Mama wa kambo ndo kumfanya haouse girl. Anny anawaza yake ya mbali, mambo ya kijijini tenaaa not that day!

Sms ikaingia baba Mellissa ameanguka pressure, ndo tunamkimbiza Regency. Mmmmh! Akamwambia Lawyer ugali silii, kuna ishu kubwa imetokea wacha nikimbie hapo regency. Lawayer akamwambia twende nikupeleke, huwezi kudrive hivo na panic, hao wakaacha msosi uleee mpaka regency.

ITAENDELEA SAA 4NYA KIZUNGU
 
Sasa jamani wana ndugu hii story ni NDEFUUUUUU, afu tamuu balaa, nimeangalia episode za kupunguza sioniii. Sasa tunafanyaje?

Either mkubali kuwa wavumilivu twende mdogo mdogo mpaka kielewekeee

Mkubali kunawaaaaa niwaambie tu mwishoni iliishajeee, ika ndo mtakosa ule uhondo wa suspense

Au semeni nyie wenyeweee twendajeeee. Maana kila episode ni tamuuuuu.
 
Nimeupitia asubuhi kimyakimya mpenzi,niko gonjwa hadi nimeshindwa kuenjoy vizuri ubuyu.
Ngoja niendelee naona umeshaweka episode mpya.....

Kimya chenuuu chanitishaaa ndo kusema maneno yamewaishiaa au. Maanake hata wale wa kunitusi KIMYAAAA safari hiii. Ama kweli hili ni picha la KIMYA KIMYA
 
Sasa jamani wana ndugu hii story ni NDEFUUUUUU, afu tamuu balaa, nimeangalia episode za kupunguza sioniii. Sasa tunafanyaje?

Either mkubali kuwa wavumilivu twende mdogo mdogo mpaka kielewekeee

Mkubali kunawaaaaa niwaambie tu mwishoni iliishajeee, ika ndo mtakosa ule uhondo wa suspense

Au semeni nyie wenyeweee twendajeeee. Maana kila episode ni tamuuuuu.
Weka zote Mamy manake hakuna namna.Hongera tu dear manake kipaji unacho kisemo chako sponsors ndo hawatokei.Ipo siku nyota itang'aa sidhani ata kama utafikia umri wa bi kidude kabla ya kung'aa.Sa hizi tupigiage tu bure sie kiendelee kukua kipaji.
 
Sasa jamani wana ndugu hii story ni NDEFUUUUUU, afu tamuu balaa, nimeangalia episode za kupunguza sioniii. Sasa tunafanyaje?

Either mkubali kuwa wavumilivu twende mdogo mdogo mpaka kielewekeee

Mkubali kunawaaaaa niwaambie tu mwishoni iliishajeee, ika ndo mtakosa ule uhondo wa suspense

Au semeni nyie wenyeweee twendajeeee. Maana kila episode ni tamuuuuu.
Hatuna haraka Lara we weka episode 2 kwa siku zinatosha asubh na jion
 
Sasa jamani wana ndugu hii story ni NDEFUUUUUU, afu tamuu balaa, nimeangalia episode za kupunguza sioniii. Sasa tunafanyaje?

Either mkubali kuwa wavumilivu twende mdogo mdogo mpaka kielewekeee

Mkubali kunawaaaaa niwaambie tu mwishoni iliishajeee, ika ndo mtakosa ule uhondo wa suspense

Au semeni nyie wenyeweee twendajeeee. Maana kila episode ni tamuuuuu.
Endelea maana wengine Ni mabingwa wa kunawa....
 
Sasa jamani wana ndugu hii story ni NDEFUUUUUU, afu tamuu balaa, nimeangalia episode za kupunguza sioniii. Sasa tunafanyaje?

Either mkubali kuwa wavumilivu twende mdogo mdogo mpaka kielewekeee

Mkubali kunawaaaaa niwaambie tu mwishoni iliishajeee, ika ndo mtakosa ule uhondo wa suspense

Au semeni nyie wenyeweee twendajeeee. Maana kila episode ni tamuuuuu.
Weeeeee hakuna kukata story, shusha mzigo wote kwa awamu (ila ndio usituchomeshe mahindi sana maana wewe nae ukiamua hata kula hatuli....lol)
Atakaeshindwa na akae pembeni bwana,watu tunaangalia series zenye episodes 200 utatuambia nini?
SHUSHA MZIGO HUOOOO
 
Ipotezee tu.......
 
Si kwa utamu wa story hii kwe kweli. Weee weka tu mambo, kukesha tutakesha, kudamka tutadamka na makazini tutaiba muda wa mwajiri tu maana hakuna namna nyingine
 
Weeeeee hakuna kukata story, shusha mzigo wote kwa awamu (ila ndio usituchomeshe mahindi sana maana wewe nae ukiamua hata kula hatuli....lol)
Atakaeshindwa na akae pembeni bwana,watu tunaangalia series zenye episodes 200 utatuambia nini?
SHUSHA MZIGO HUOOOO
Tutavumilia tu kwani sh ngapi?....
Mgonjwa pole,upone haraka nakutegemea kulee jukwaa letu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom