Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

Loading.....
I am here for you Mpendwa Lara 1, tupia basi hiyo another episode!!
 
Fuckshida Lara one ungekuwa dunia ungekuwa tajiri kama yule mama wa Harry Potter Ikwani hadithi zako ni movie toshaaaaaa embu jaribu bongo movie kidogo kuwwandikia unaweza kuwa kajumba wetu mwingine walllah wabillah watallahi tena mama yangu mwanamke hii levek zako ni za hollowoddy hata wahindi hawakufikiii ***** Yaani unanitia hasira kama hiyo TALanta ninayo mie *****
 
Failure is never an option!

Ikawa Sisca sasa ana lala na MBA daily, the sex was so good akawa addicted. She could do without it. Ikawa sasa kama wana date kabisaaa maana ndo kupigiana simu, sms, ikagraduate from just a fling to a relationship kabisaaa. Ikawa sasa kina Anny wanamuuliza MBA anasemaje maana ikawa kama nae part of the family.

Siku hio Sisca hana hili wala lile namba mpya ikamtafuta, hakujua nani, katika kuuliza who is this ndo kujibiwa it is me the nerd, auditor. Akawa ile hayupo interested, but akaamua kumuengage Angy, Angy akamshauri, nerd hajoa, so amchunguze kama hana baby mama, wanaweza kuwa na something meaningful. MBA awe nae side boo.

Akaona ni jambo la kheriii. akawa hajiongeziii ila hamkati nerd, anamchuuza tuuu. Siku ya siku kapigiwa simu na mke wa MBA, akamwambia tu, mi sitaki shari na wewe, wewe ni mwanamke mwenzangu kama umeolewa achika kwa mumeo uje uolewe huku na huyu MBA, tujuane tupo wawili tusaidiane kumchungaaa, kama hujaolew ongea nae akuoe kabisaaa. Dini inaruhusu kabisaaa, kwanini kufanya mambo kihuniiii.

La maana na la mbolea sababu wao watu wazima ndo washatamaniana na kupendana, basi waoane ijulikane mojaa, sio kuiba iba mpaka lini? Bora aolewe wawe wawili wasaidiane kumchunga, na mitandaoo hiii ya ngono, ukimwi, yeye kama bi mkubwa katoa ruksa hio, akae ajitafakari.

Mmmmmmh! Akawaza amwambie MBA, akaamua tu kuiminyia hio issue bila kumwambia MBA WALA NINI. Sema ile mkewe kuwa keshapata fununu fununu na kaipata namba yake akaona soo lilishaanza bora aangalie na upande wa pili kwa huyu nerd.

Angy baada ya sms mume akawa anarudi ndani saa 11 jioni, hatoki tenaaa, anaspend mda na mtoto, wanachezaa kabisaaa, akirudi kazini anamkuta wanaongea story za makazini, huku na huku, ikawa siku zinavoenda ile sumu inampungua moyoni. Akaona huenda kabadilika kweli. Mwezi mzima, mechi haipigwi humo ndani, bt they friends kabisaa, wanacheka vizuri tu, siku zingine anampeleka ofisini na kumfata, wanampeleka mtoto shule, weekends wanatoka kama familia kabisaaa.

Kidogo akaanza kumshukuru Mungu kwa hayo mabadiliko, walau mume ana mda na familia yao, hata hamu ya kutoka toka ikaanza kumuisha , akawa tu anapenda awe anakaa nyumbani na familia yake, Kidogo kidogo moyo ukaanza kurudi nyumaaa, akajikut anaanza kumpenda tena mumewe na kutamani tena walau mechi zirudi.Afu yeye sio mtu wa wizara za mambo ya nje so akikosa ndani ndo kakosaa jumla. Ikawa sasa anafeel kitu kwa mumewe, wivu ukarudi, akajua kabadilika finaly, mpaka akapanga kumzalia tena mtoto mwingine ikiwezekana.

Basi kidogo kidogo akalegeza masharti chumbani, akaanza kulala bila nguo kumtega tuuu, mwanaume, na wanaume walivo wepesi, kutegwa siku ya kwanza hio hio kala mzigooo. Wakarudi vizuri kabisaa taleast mechi mara 3 kwa wiki, baby zikarudi ndani ya nyumba, hadi kuongozana kanisani. They were happy.

Angy akaamu kabisa kwa dhati amzalie mumewe mtoto wa kiume kwa dhat kabisaa, sababu ashatoa mimba 3 zote wanawake, akaona safari hii aende hospitali AMI, akaulize hata uwezekano wa kuchagua jinsia, gharama, kama inawezekana kufanyia hapa bongo au hata Nairobi au SA na kupata twins wa kiume kama wa Kylyn inakuwajeeee. Akawa kaambiwa procedure akawa kapanga aje mashirikishe maana alikuwa anajua leo kesho mumewe anataka mtoto wa kiume.

Anny akawa anaumia rohoni akamuona dady, anapanga aachane nae style gani, kila style anaona hataaa, itamuumiza dady, n yeye roho inamuumaa hatari. Hitimisho alilofikia ni kuchukua likizo bila malipo, afu amkimbie dady kimya kimya, akija tu siku amkute hayupoooo

Aakafungasha vitu vyake, na kuomba kwenda ku crash kwa kina Angy cause nyumba yao kubwaaa, akakubaliwa siku hio akavua tu ile pete akaiacha ndani ya box lake na kuiweka juu ya dining, akasepa zake. Kila siku anamuuliza Angy dady kaja ofisini, anamwambia hajaja. Kuchunguza wakakuta Dady alirudi kwao Namibia, then akawa kaenda US kwa mwanae kutibiwa. Basi hawakujua reaction yake juu ya Anny kumkimbia ilikuwajeee

Anny akarudi kazini akapanga nyumba yake na kuhama kwa Angy, huku Angy akiendeleza appointment na Dr juu ya hao twins wa kiume, huku akitafuta hela ya kufanikishaaa.

ITAENDELEA KESHO.
 
lara 1 una talent but unaganga njaa tu viajira vya watu..

jilipue hata kuwatungia story bongo movie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom