Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

Kitu ninacho ila tukianze tu kati ya Jmosi jioni hivi. Pigieni kura viko 2. Kuna Average Joe na The working class. Jimalizeni wenyeweee
THE WORKING CLASS..........hahaha nakuona lara ndani ya huo mtanange, Yaan Lara unanitumbukiza ktk Uraibu hivi hivi najiona
 
KITU KINGINE KIKALI BALAAA KINAKUJAAA, KINAITWA THE WORKING CLASS! Ni nomaaaasanaaa! Hapa bado hamjaonaaa kitu.

Nijitibia kwanza inshaalah usiku wa leo kinaweza kuanza.
Kitu ninacho ila tukianze tu kati ya Jmosi jioni hivi. Pigieni kura viko 2. Kuna Average Joe na The working class. Jimalizeni wenyeweee
Tupumzike hata mwezi hivi, tumsapoti Dr. Magu kutumbua majipu......hata wewe lara 1 ni jipu unafanya watu waibe muda wa waajiri wao kusoma riwaya zako.
 
KATIKA KUBORESHAAA, SEMA NANI KAKUKUNA ZAIDI NA WAPIII! NI NANI EPISODE IPI NI BEST OF THE BEST KWAKO! Nitashukuru for feedback!
stori ina vionjo hatarious nimefurahi kuisoma yote kuchelewa kuna raha yake
ila for serious watu wameniona chizi kwa kucheka hivi ubahili wa wachaga umefikia hatua mavi yakiwabana hawaendi kupupu kisa budget
ila wadada wasitake risk kama ya sista kujibebisha mimba ukitegemea harusi utaishia kuzaaa wana wa nje wanaume wa type ya KLM ni moja ya kumi
 
Hahaaaaaa! Hizi story zina class yake ya watu flani akili kubwaa WASIOKUBALI KIRAHISI kama Wa humu JF, sio level za wasoma magazeti ya shihongo.

Anyway kama nimeandikiwa kupata nitapata tu Inshaalah! On the mean time nimepewa bureee natoa buree.

Anyway sio bure nafanya practise, mila nikitoa kitu najitahidi kutoa kikali zaidi ya cha mwanzo. Ambapo I get better n better in this game.

ABOVE ALL INAWAFIKI WOTEE BUREE ,mna enjoy Na Mimi najenga customer base Na kuestablish identity.

Ila Sasa nikisema Nina muvi nazindua mlimani city 100,000 kiingilio mtatoa cause mshanielewa sibahatishiiii. Hata msipokuja itawawinda rohoni. Hahaaa!

Tuombe uzimaaa.
Count me in Lara1. Tena ukianza huo mchakato weka kabisa tangazo hapa JF nitakua hata vulunteer nyuma ya kamera.
 
Aaghrrr.... hii episode ya mwisho ni mbaya bana. Na ubaya wake ni kwakua imeisha, kwanini imeisha mapema yotehiii...
 
stori ina vionjo hatarious nimefurahi kuisoma yote kuchelewa kuna raha yake
ila for serious watu wameniona chizi kwa kucheka hivi ubahili wa wachaga umefikia hatua mavi yakiwabana hawaendi kupupu kisa budget
ila wadada wasitake risk kama ya sista kujibebisha mimba ukitegemea harusi utaishia kuzaaa wana wa nje wanaume wa type ya KLM ni moja ya kumi
unfortunately when you are in love[women] you throw all caution to the wind.....
 
Aaah Mangiiii kama fowadi aliekosa penati kwenye mechi mbili za kwanza na kuja kuibuka na goli saba game ya tatu
 
Lara,
uandishi wako ulipungukiwa vitu vichache,kwa ajili ya kurekebisha ili zitakazokuja ziwe nzuri zaidi,
  • majina yalikua perfect,ila ulivyoyafupisha yakawa yanaleta ufanano mwishoni,jitahidi kuweka majina tofauti hasa mwishoni,maana angy na anny was a little disturbing
  • usimalize story kwasababu ya pressure ya wasomaji,wengi wetu humu si wasomaji wa story ndefu,but no way kwa hii story kila mtu hata awe si msomaji ataimaliza,hukuimaliza vizuri maana ulimaliza upande mmoja tu.
  • hizi hadithi ni nzuri mno,hutakiwi uziache ziishie humu mitandaoni,nakushauri utafute editor( naweza kukusaidia kwenye hilo) halafu utunge kitabu,nasistiza iwe ni kitabu usiziuze magazetini,ukiite simulizi za Lara,then kila story iwe na kitabu chake...huna muda hela itakua rafiki yako,uko karibu mno na utajiri kwa njia hii,sema hujashtuliwa tu.
  • fungua account insta,facebook na social site zote unaweza usiamini utakachokipata huko,uzuri wa hadithi zako ni kwamba zina ukweli flani hv,ni real life stories, nyingi zimebase kwenye ndoa na ndio matatizo ya watu wengi kwa sasa,chukua point hapo,do it today na uje ututangazie hasa insta utapata followers wengi na utauza matangazo hatari,si lazma kila kitu ukifanye mwenyewe,vingine unasaidiwa.
  • linda na tunza kumbukumbu ya kila hadithi yako,it worth it.

kwa muonekano na uendelezaji story nakupa 98%,kwa ubunifu nakupa 97%,kujiamini nakupa 80%,na kwa kuomba na kufuata ushauri nakupa 98%.

NB:usiweke kabisa maoni yako kwenye hizi story....labda ikibidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom