Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,799
Habari Wana JF Doctor.
Naomba msaada wenu please.
Nimekuwa Na tatizo la mara kwa mara la kuwa attacked Na vaginal fungi, haipiti miezi Sita, sijaumwa, now nimechoka sana. Nimeenda jana kwa doctor Mvungi kupima magonjwa ya ngono yote niko negative. Nimepatwa na hasira sasa nimeamua kutumia dettol ya maji kwa kufulia nguo za ndani na kuogea kila siku.Ikanibidi nikagoogle to learn hivi vijidudu. Inasemekana vipo tu kwenye mwili wa mwanamke, ila pale bacteria anaposhindwa au ondolewa fungi ndipo humultiply. Sasa hofu yangu, hizi medicated soap, Na dettol hazitawaua bacterial Na kuendeleza huu ugonjwa?
Doctors please naombeni msaada wenu, what should i do? Nimechoka sana Na kujikuna kuna, sleepless at night.