Vaginal fungi infection.

Remmy

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
4,703
1,797
Habari Wana JF Doctor.

Naomba msaada wenu please.
Nimekuwa Na tatizo la mara kwa mara la kuwa attacked Na vaginal fungi, haipiti miezi Sita, sijaumwa, now nimechoka sana. Nimeenda jana kwa doctor Mvungi kupima magonjwa ya ngono yote niko negative. Nimepatwa na hasira sasa nimeamua kutumia dettol ya maji kwa kufulia nguo za ndani na kuogea kila siku.Ikanibidi nikagoogle to learn hivi vijidudu. Inasemekana vipo tu kwenye mwili wa mwanamke, ila pale bacteria anaposhindwa au ondolewa fungi ndipo humultiply. Sasa hofu yangu, hizi medicated soap, Na dettol hazitawaua bacterial Na kuendeleza huu ugonjwa?

Doctors please naombeni msaada wenu, what should i do? Nimechoka sana Na kujikuna kuna, sleepless at night.
 
Umesema kuwa hao wadudu huwa wapo tu.
Kesi hii inaweza kuwa inafanana na wadudu wa TB kwamba kila mtu anao ila pale kinga yako inaposhuka ndio ugonjwa unaibuka.
Ndio maana nikashauri ucheki immunity
Naomba utambue kwamba matumizi ya antibiotics yanashusha sana immunity na mwili wako ukawa unapata sana fungal attacks.
OTIS
 
Thanks,sasa napima nini kuhusu hiyo immunity?
 
Kwa vile umetumia njia zote zimeshindikana labda ujatibu kuangalia:

angalia nguo zako za ndani je ni kavu? Kabla ya kuvaa unazipiga pasi?
Unajikausha vyema ukiyoka kuoga nk?
Maji unayoogea ni salama?
 
pole sana kwa yaliyokusibu!
SURUHISHO LAWEZA PATIKANA.
rafiki kama unaweza jaribu kuwasiliana na wataalamu wa Kampuni ya TIENS, kwani huwa wanavirutubisho na pads kwa tatizo kama hilo.
kama hutojali, nieleze uliko nitakuelekeza office zilizokaribu nawe, au vist: www.tiens.com, www.aftiens.com or contact me via 0755569494 or email: ruhazwentaki@yahoo.com
 
pia wapo wanaotumia pad zisizo salama kama pamba, madaso nk hii ni hatari kwa afya yako. pad zipo kama ungependa kuzijaribu hutengenezwa na Kampuni ya TIENS. kama ungependa kuwazijaribu tuwasiliane.
 
Kwa vile umetumia njia zote zimeshindikana labda ujatibu kuangalia:

angalia nguo zako za ndani je ni kavu? Kabla ya kuvaa unazipiga pasi?
Unajikausha vyema ukiyoka kuoga nk?
Maji unayoogea ni salama?

Nitazingatia.
 
Da Remmy angalia sana iwapo unatumia antibiotics mara kwa mara, hii nayo huchangia kuzidisha tatizo la fungus.
 
lakni pia uwe unajisafisha kwa maji safi na kuingiza vidole vyako viwili kutoa ute ute wa ndani ambao ni mchafu wakati mwingine ni kutojisafisha vizuri kwa ndani.......
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom