Vacancies for training sales executives

MarkD

Member
Jan 10, 2012
61
28
Affluence Training Ltd (ATL) was established on 27th January 2016 based in Dar Es Salaam on 2nd floor Jannat Plaza- Mwananyamala Komakoma dealing with provision of training and consultancy services to the financial sector of Tanzania. ATL is currently looking for 2 experienced and dedicated training sales executives to be based in Dar Es Salaam Offices with frequent upcountry travelings. Aspiring candidates should send their CVs only to affluencetraining@gmail.com before Saturday 2nd July 2022 at 16:00hours. For more constructive inquiries call us on +255(0) 712066064.
 
Tapeli Huyo hana lolote achaneni naye
Wanaohitaji ombeni, hizo comments hazina ukweli wowote, we are legit na tumeweka anuani za ofisi zetu, mwenye wasiwasi aje ofisini. Ukiangalia posts zetu tokea 2012 tumeweza kusaidia Watanzania zaidi ya 126 hadi sasa kupata ajira na hususani Vijana wameanzia kazi kwetu na baadhi baada ya kupata uzoefu wetu wana nafasi kubwa sehemu nyingine, mfano mdogo Mameneja 4 wa benki 3 hapa Tanzania wameanzia kazi kwetu. Kanuni yetu huji kuchukua hela bali unakuja kufanya kazi na unalipwa kulingana na unachozalisha, HAWA WANAOANDIKA HIVI YU MKINI HAWAKUMACHI MALENGO YAO NA YA KWETU. Karibuni sana japo hadi navyoandika email imejaa maombi zaidi ya 1,350.
 
Mechanical technician kaz ipo huko

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Wanaohitaji ombeni, hizo comments hazina ukweli wowote, we are legit na tumeweka anuani za ofisi zetu, mwenye wasiwasi aje ofisini. Ukiangalia posts zetu tokea 2012 tumeweza kusaidia Watanzania zaidi ya 126 hadi sasa kupata ajira na hususani Vijana wameanzia kazi kwetu na baadhi baada ya kupata uzoefu wetu wana nafasi kubwa sehemu nyingine, mfano mdogo Mameneja 4 wa benki 3 hapa Tanzania wameanzia kazi kwetu. Kanuni yetu huji kuchukua hela bali unakuja kufanya kazi na unalipwa kulingana na unachozalisha, HAWA WANAOANDIKA HIVI YU MKINI HAWAKUMACHI MALENGO YAO NA YA KWETU. Karibuni sana japo hadi navyoandika email imejaa maombi zaidi ya 1,350.
Kwaiyo waje watembeze vyombo au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tapeli Huyo hana lolote achaneni naye
HUYU JAMAA USIMCHAFUE KABISA... MIMI NILIWAHI KUFANYA KAZI KWAKE.

KATIKA MASUALA YA KAZI NI MTU SAFI SANA... HANA UMWINYI WALA UKIRITIMBA HATA KAMA YEYE NI BOSS... NI MTU WA KAZI NA MALENGO... USIPOKUWA MCHAPAKAZI, MKWELI, MWAMINIFU NA KUFIKIA MALENGO HUWEZI KUENDELEA NAE.

NA KWENYE MALIPO HANA LONGOLONGO...na ANALIPA VIZURI SANA... HUU NDIO UKWELI.

NILISHAWAHI KUFANYA KAZI SEHEMU MBALIMBALI... ILA SIJAWAHI KUENJOY KUFANYA KAZI CHINI YA BOSS KAMA HUYU JAMAA NA OFISI YAKE.

KILICHOSABABISHA NIACHE KAZI/NIACHISHWE KAZI;
1. Mimi ni mtu wa dini wa sana, wakati nafanya kazi ile nikawa nafanya utafiti wa kidini kuhusu uhalali wa kazi ile kidini(kwa upande wa dini yangu).

2. Kwahiyo baada ya kubainikiwa kidini kazi Ile kisheria ya dini yangu ningekuwa nafanya dhambi... Nikapoteza PASSION NA KUJITUMA KWENYE KAZI ILE... Ikapelekea kushindwa kufikia malengo... Na BOSS MWENYEWE ALILIONA ILE AKAONA HUYU HANIFAI(Alikuwa sahihi).

Lakini vinginevyo... NINGEENDELEA KUFANYA KAZI KWAKE MPAKA AAMUE KUFUNGA OFISI.

HII NI HAQQ... WALA SIJIPENDEKEZI ANIPE KAZI TENA(kwa sababu sasa hivi nipo busy na masuala ya kufundisha dini na ulinganizi).

Kila mtu haqq yake asidhulumiwe.
 
Umefungua ID mpya ili ujisifie tapeli wewe pesa yangu na muda wangu nilioutumia utanirudishia tu!
 
Ndio amekutuma uje umsafishe kwa kusema uwongo, na usiye na haya unajidai mshika dini mzuri, unaleta unafki kwa kusema uliacha kazi sababu ya Imani yako, Iman gan uliyonayo alikuwa anakutuma ukajiuze au alikupa kazi gani hizo Hadi ukaachana naye

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ukweli utasemwa hata na mawe, kama binadamu mkigoma ukweli.

Waliopo hapa waliowahi kukutana nami waangalie rekodi za post zangu watajua mimi ni mtu tofauti kabisa...

Huyo jamaa ana kampuni yake inayodili na kufanya training kwa financial institutions na cooperations za mikopo...

Kilichofanya nipoteze passion ya kazi... Baada ya kugundua ninashiriki katika kuelimisha watu kula riba... Jambo ambalo kwa dini yangu ni haramu... Kwahiyo nisingeweza kuongeza mkataba... Ila boss mwenyewe aliona aachane na mimi baada ya kuona juhudi imeshuka.

Vyovyote utakavyoona... Ila ukweli usemwe...

MNYONGE MNYONGENI... HAKI YAKE MPENI.

Msipokubali hili... Nyie mna lenu jambo dhidi yake... ILA SITOKUBALI NIONE MTU ADHULUMIWE MBELE YANGU.
 
kimeumana

Kilichofanya nipoteze passion ya kazi... Baada ya kugundua ninashiriki katika kuelimisha watu kula riba... Jambo ambalo kwa dini yangu ni haramu(RIBA kwa namna yoyote ile ni haramu katika uislaam) ... Kwahiyo nisingeweza kuongeza mkataba... Ila boss mwenyewe aliona aachane na mimi baada ya kuona juhudi imeshuka.

Vyovyote utakavyoona... Ila ukweli usemwe...

MNYONGE MNYONGENI... HAKI YAKE MPENI.

Msipokubali hili... Nyie mna lenu jambo dhidi yake... ILA SITOKUBALI NIONE MTU ADHULUMIWE MBELE YANGU.
 
Huyu namfahamu huyu jamaa akikuajili ukkaa Kwa ofisi yake miezi mitatu utakua umejitahidi sana Mimi nilifanya kazi kwake hakunilipa miezi 5 halipi mishahara anadhulumu utapeli pitia nyuzi zake ana high job turn over ya staff katangaza kazi zaidi ya mara 62 ni mwizi sana nashangaa mpaka Leo jamii forum mnaruhusu post zake humu
 
Duh ! Halafu hii tabia ipo sana ya hizi kampuni uchwara kuchukua watu hasa graduates na kuwahadaa kufanya kazi bila malipo like slaves at the end of the day hata hizo kazi wanazoahidiwa hamna , kuna abundance ya slave labour nchi hii ndio maana hata makampuni uchwara haya sikuhizi hayaajiri ,ni mwendo wa slave labour . Working without payments
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom