Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,529
Hivi ni Li-Ugonjwa gani hili Tanzania? nilikuwa Dar wiki kadhaa zilizopita, nimeona kila kona iwe asubuhi, mchana au jioni, watu wako kihovyohovyo, vijiwe kibao, kuzurura kila kona, watu wamejikalia, nkajiuliza, hivi wana hawana kazi?
Kama tutakaa tudai eti hatuna watu wa kufanya kazi, itakuwa ni uongo mkubwa sana.
We have a lot of free labor, pentyful, tena ni watu wenye afya na uwezo wa kufanya kazi.
Je hawa wanachangia kwa kiasi gani kuhujumu safari ya kutuletea maendeleo?
Wala msinidanganye eti kisa hakuna wa kuajiri au ajira ni haba, tukiwa na nia, tunaweza tumia hii nguvu kazi na kuondokana na Uzururaji a Ubangaizaji!