Uzuri wa totozi za chuo Kenya

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
Yaani kuna warembo na warembezwa huko Meru University College…na huu ndio ushahidi…..
Meru University College's Mr and Miss Uni?

The Beast at Work

No. This is not the Muliro Garden mama....Na Ile bed ya juu ni ya Mmaasai?

As you can see for yourself...This is the Trust Condoms MERU Uni Representative

Na Anazikwenda.....na huyu msee anamnusa Nywele!!? Kwenda huko!

Now this lady wasn't too sure am-hug huyu msee ama ni aje....na huyo amevaa Yellow amesizi...!!

At last alikubali.....lakini jamaa needs to do more....

We have hundreds of pictures taken at Meru University..and we will publish them over the next couple of days…..check out soon..u might be in….

This is our showstopper for today…enyewe huyu dem ni msooooo.

sa mbona ktk hizo picha wanaume ni wengi kuliko mademu au nao ni warembo?

Pukudu@ Ilkiding'a, Arusha

Hakuna cha ajabu.... watoto wa kawaida kabisa, UDSM and UDOM could produce better samples...

Sorry.....

Kuweka picha za watu hapa jamvini perhaps bila idhini yao ni violation of personal privacy na upashkuna na udaku usiokuwa na maana ukizingatia hapa tunajiita the home of great thinkers!!

Sidhani kama wewe picha zako zikianikwa hapa utafurahia.

Yanayojiri ktk vyuo vyo huko Kenya hayatuhusu wabongo, it's none of our business, and we don't care!

Hao mademu ktk hizo picha ni wa kawaida sana na ni kichekesho kuwaita warembo bab kubwa, kama ndio hivyo basi huko Kenya hakuna mademu wa maana na mmeishiwa. Warembo wa kibongo ni wazuri mara million kuliko hao ktk picha.

weusi kama mkaa wa kupikia kande zisizokobolewa, duh!

Uwiii!ndo warembo wanaosifiwa hao...afu mbona ka wanaume wote au ni macho yangu yanaona vbaya?

Yaani kuna warembo na warembezwa huko Meru University College…na huu ndio ushahidi…..

Meru University College's Mr and Miss Uni?

The Beast at Work

No. This is not the Muliro Garden mama....Na Ile bed ya juu ni ya Mmaasai?

As you can see for yourself...This is the Trust Condoms MERU Uni Representative

Na Anazikwenda.....na huyu msee anamnusa Nywele!!? Kwenda huko!

Now this lady wasn't too sure am-hug huyu msee ama ni aje....na huyo amevaa Yellow amesizi...!!

At last alikubali.....lakini jamaa needs to do more....

We have hundreds of pictures taken at Meru University..and we will publish them over the next couple of days…..check out soon..u might be in….

This is our showstopper for today…enyewe huyu dem ni msooooo.

Is this the best u have got?I'M OFFICIALLY THE HOTTEST CHICK IN EAST AFRICA

kuna mrembo hata mmoja? Labda nisomee tena sifa za mrembo. hamna kitu hapo. ndo proud produce za kenya hizo? Tena hawa ndo wako colleges!! halafu kuna mr and ms uni hapo? doh poleni sana!

huyu yoyo ndio alikuwa anaulizia zeutamu sio???
inaonyesha ndiye yeye alikuwa anashinda akiwadhalilisha dada za watu kny ule mtandao...
usitake kuigeuza jf kuwa mtandao wa kishetani kama zeutamu.....
great thinkers hawana muda wa kuwadhalilisha dada za watu tafuta sehemu nyengine.......
mods ondoa hii.....

are those the best samples u got, nimeamini sasa tanzania tunaongza eastafrica kwa warembo.,

are those the best samples u got, nimeamini sasa tanzania tunaongza eastafrica kwa warembo.,

Tuna warembo tena warembo kweli kweli achana na wale wanaotafuta urembo kwa mkorogo, madawa ya mchina na nywele za bandia na ndio maana majirani zetu na hata wale wa kutoka Afrika magharibi wamekuwa wanafukuzia sana warembo wa Kitanzania.

Warembo wamependeza sana!
Hawa wanaweza kushinda katika mashindano ya Miss Africa na Miss Universe.

Sono belle donne!
sono puramente naturale!

weusi kama mkaa wa kupikia kande zisizokobolewa, duh!

Kwa hiyo mwanamke akiwa mweupe ndio mzuri???Mbona watu wana fikra mgando??Ukipenda mikorogo penda tu,na wanaopenda weusi waache wawapende!!!Sio kushobokea rangi

Back
Top Bottom