Uzuri wa Dkt. Magufuli ataanza na wafuatao...

Uzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.

Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura lakini ujue ataanza na nyie.

1. Ataanza na wakurugenzi. Wakurugenzi wa Halmashauri usaidie chama usisaidie chama mtakwenda na maji tu. Cha msingi bora usimamie haki tu hata ukitumbuliwa utakuwa huna cha kujilaumu. Kuliko ujaribu kubeba chama halafu ukaishiwa kutumbuliwa.

2. Mkurugenzi wa NEC. Ndugu yangu kwa namna yoyote ujue huna kazi baada ya uchaguzi.

3. IGP na ma RPC, baada ya uchaguzi mjue hamna kazi.

4. Polepole na Bashiru baada ya uchaguzi hamna kazi.

Ongezea...
Bashiru na polepole tayari wamepiga chao kikubwa kwenye pesa za kuihujumu kuidhoofisha chadema wapo vizuri ni matajiri sasa licha ya kuingia CCM wakiwa masikini wa kutupwa
 
Kama atarudi wa kwanza kumtumbua ataanza na Mahera kwa kushindwa kutii maagizo ya kumkata Lisu wakati wa urejeshaji form, IGP kwa kuacha wapinzani watambe kuliko yeye.
IGP kapewa onyx na ICC pamoja na taasisi za haki za binadamu Duniani
 
Mtakoma mwaka huu. Hamchomoki mnajisumbua.
Mtu anayejisumbua ni yule anayejaribu kujiaminisha uongo kama wewe.

October 28th Magufuli anaenda kushinda kwa kishindo hamtaamini macho yenu.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
anatosha kwenu acha kutuletea ujinga wako wa buku 7
Sina wasi wasi na wewe kwasababu najua kura yako ni kwa Magufuli.

Kwa kazi kubwa aliyoifanya Magufuli wote kwa pamoja twendeni tuakamchague kwa KISHINDO October 28th.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Kweli kwani ni yeye alipiga bomu? Uongozi ni kazi sana ndugu yangu wapo ambao walibomoa makusudi ili wajengewe.

JPM ni Kiongozi asiyeona aibu kueleza ukweli na hii ndio sababu wazalendo wengi October 28th tutampigia kura kwasababu muda wa kuendekeza uhuni uhuni yalipitwa na wakati.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Mda wa kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani bado uhuni huo haujapitwa na wakati? Ni kiongozi asiyeona Aibu kupiga trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara siyo? Uzalendo ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? au Uzalendo ni Ndungai kupiga bilion 12 peke yake akiwa India kisha hakuna wa kumuuliza? Uzalendo ni kupiga 10% ununuzi wa Ndege kwa cash?
 
Sina wasi wasi na wewe kwasababu najua kura yako ni kwa Magufuli.

Kwa kazi kubwa aliyoifanya Magufuli wote kwa pamoja twendeni tuakamchague kwa KISHINDO October 28th.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kazi kubwa ni kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani uonevu unyanyasaji uovu mwingi? Hiyo ndiyo kazi kubwa?
 
Mda wa kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani bado uhuni huo haujapitwa na wakati? Ni kiongozi asiyeona Aibu kupiga trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara siyo? Uzalendo ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? au Uzalendo ni Ndungai kupiga bilion 12 peke yake akiwa India kisha hakuna wa kumuuliza? Uzalendo ni kupiga 10% ununuzi wa Ndege kwa cash?
Kweli somo la kuropokaropoka mbeligiji amefaulu kuwapatia..

Hamna namna wakuu wananchi wanakwenda kumpatia USHINDI wa KISHINDO Mzalendo wa kweli Magufuli.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ndio nini sasa hiki umekiandika?

Hebu acha ramli chonganishi October 28th nenda kampigie kura JPM kwa maendeleo ya Tanzania.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Usikurupuke, soma kwa makini uelewe anamaanisha nini! Read between lines!!! Mimi nimemwelewa kabisa. Usitegemee kubebwa eti kwasababu ulimsaidia JPJM akaweza kushinda. Yeye ni mtu wa "hapa kazi tu"!!! sasa ukizembea eti kwakuwa ulimsaidia kurejea Ikulu utakuwa umegusa mashafubu yake na hatakukawiza!!
 
Huko ubelgiji bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje? Uropokaji unao wewe hakuna uropokaji Hatari kama kusema kuwa endapo watu hawamchagui mbunge wa CCM na diwani hapeleki maendeleo utazani ni pesa zake binafsi tokea mfukoni wakati ni pesa za walipa kodi
 
Aliahidi Noa kwa kila Mtanzania zipo wapi? na pia ipo wapi mikataba mipya ya madini?
 
Huko ubelgiji bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje? Uropokaji unao wewe hakuna uropokaji Hatari kama kusema kuwa endapo watu hawamchagui mbunge wa CCM na diwani hapeleki maendeleo utazani ni pesa zake binafsi tokea mfukoni wakati ni pesa za walipa kodi
Sio tatizo lako minyoo imepanda kichwani jaribu kutumia Albendazol.

October 28th ushindi wa kishindo kwa JPM hauepukiki.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Usikurupuke, soma kwa makini uelewe anamaanisha nini! Read between lines!!! Mimi nimemwelewa kabisa. Usitegemee kubebwa eti kwasababu ulimsaidia JPJM akaweza kushinda. Yeye ni mtu wa "hapa kazi tu"!!! sasa ukizembea eti kwakuwa ulimsaidia kurejea Ikulu utakuwa umegusa mashafubu yake na hatakukawiza!!
Mashafubu ni nini?

Shule mlienda kuruka kwenye madawati?
Kipigo kipo pale pale October 28th..ni kura za ndio zisizo na mfano kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Uzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura.

Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura lakini ujue ataanza na nyie.

1. Ataanza na wakurugenzi. Wakurugenzi wa Halmashauri usaidie chama usisaidie chama mtakwenda na maji tu. Cha msingi bora usimamie haki tu hata ukitumbuliwa utakuwa huna cha kujilaumu. Kuliko ujaribu kubeba chama halafu ukaishiwa kutumbuliwa.

2. Mkurugenzi wa NEC. Ndugu yangu kwa namna yoyote ujue huna kazi baada ya uchaguzi.

3. IGP na ma RPC, baada ya uchaguzi mjue hamna kazi.

4. Polepole na Bashiru baada ya uchaguzi hamna kazi.

Ongezea...
Na ndivyo ilivyo mifano kibao wanayo Nape, Makamba, Kinana nk
 
Ndio nini sasa hiki umekiandika?

Hebu acha ramli chonganishi October 28th nenda kampigie kura JPM kwa maendeleo ya Tanzania.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Hivi huna maneno ya maana ya kuandika zaidi ya haya? Wewe kila thread ni copy and paste maneno hayo hayo hadi unachosha.
 
Back
Top Bottom