Uzoefu wangu baada ya kuachana na matumizi ya smartphone/whatsapp

Ukisemacho ni ukweli mtupu. Ule muda tuliokuwa tukiutumia kusali,kufikir,kupanga sahv haupo.

Mm mwenyewe nmejkuta na exit tu

Soon ntafuata mfano wako. Napga chini hii kitu.
Piga chini hata fikra za kuingia JF
 
Umesema kweli, hasa wanadada ndio wamekua walevi na hii miatandao, akiwa kwenye Boda Boda What'saap, Bajaji What'saap, yaan ni full mwendokasi
 
Habarini ndugu!

Nina miezi miwili nimeachana na matumizi ya smartphone,al-mahsusi hizi app za whatsapp na instagram.

Nataka niwashirikishe watanzania wenzangu uzoefu wangu huu wa miezi miwili, nadhani inaweza kuwasaidia baadhi ya watu!

Pamoja na faida chache au nyingi za mitandao hii,nilikuja kugundua hizi app hasa whatsapp ilikuwa inanipotezea sana muda na kuniharibia concentration kwenye mambo ya msingi zaidi katika utafutaji hivyo kupunguza uzalishaji, na kupunguza kasi ya kufikiri!

Baada ya kuachana na matumizi haya ya whatsapp/smartphone nimejikuta nimekuwa effective sana kwenye kazi zangu kwa maana ya kuutumia vizuri muda wangu,napata muda wa kutosha kusoma vitabu,kufikiri,ku meditate nk,
Uwezo wangu wa kukumbuka umeongezeka, imagine, kwa sasa nikiangalia namba yoyote ya simu mara moja tu inakaa kichwani tofauti na kipindi cha nyuma.

Stress zimepungua,nimefakiwa kupunguza stress za aina mbalimbali ambazo zinasabishwa na chatting nyingi zisizo za msingi au picha na video za ajabuajabu,zimebaki stress za kusaka hela tu.

Mahusiano yameimarika;mahusino na watu wangu hayajatetereka tena, kwa sababu hatuwasiliani mara kwa mara hivyo hakuna makwazo yanayotokana na kuwasiliana mara kwa mara
Akiri imekuwa focused zaidi na kazi

Concentration kwenye kazi imeongezeka sana na kuondoa blockage za sms za whatsapp zinazoingia masaa 24.

Hizo ni baadhi tu, kuna nayaona matokeo makubwa zaidi baadae.

Hofu yangu,

Tunatengeneza taifa la mashabiki na watu wasioweza kufikiri tukiendekeza hili, watu wanachati tu hata wakiwa maofisini, tena wanachat umbeaumbea tu,mpira,ajali,picha za uchi nk

Taifa linaangamia,nani atalizuia au kulisemea hili, ni kitu chenye impact kubwa sana in the long run.

Taifa linaongeza watu wavivu,watu wenye tabia mbovu,wambea,walalamikaji nk.. where are we heading as a nation?

Tutegemee thinkers wachache sana baadae.

Najua wale addicts watapinga sana hili, lakini huu ndo ukweli mchungu.

Tafari..chukua hatua.
Mbona upo JF??? Humu hamna post zinazopoteza muda???
 
Mkuu uko sawa ila zina umuhimu wake ila si kuwa addicted nashauri japo siku moja kwa wiki kama mm ninavyo fanya huwa na uninstal na kuinstall jumamosi na jumapil na jumapil usiku na uninstal
 
Utashinda mitandao yote ya kijamii lakini mwisho Wa siku utakuja Hapa JF...
 
I QUOTE="STUNTER, post: 16926549, member: 344192"]Mkuu Ungeiacha na JF ndo ningekuona mwamba
I wanted to ask the same mkuu. Hapa JF ndo mtihani mkubwa..[/QUOTE]
naingia jf kwa kutumia pc, ni tofauti na simu, kila saa unaichungulia
 
We utarudi karne ya 18 usipoangalia...mwisho utasema tuachane na magari yanatutia uvivu...tuwe tunatembea tu hata ujiji mpaka bagamoyo- ndio mazoezi!! U don't know time it is bro.
 
Fb naeza ingia mara moja kwa mwezi, instagram niliuninstall, viber niliuninstall, Whatsup labda baadae but jamii forums siwezi ondoka.
 
Kitu wasichokijua watanzania wengi ni kwamba social media msingi wake mkuu ni networking, networking ya kukuwwzesha kuzidisha kipato chako...katika namna ya advertising mfano niliona hawa wanaojiita motivational speakers wa kimarekani haswa wanacharge mpaka $300,$500 ili wakutangaze kwwnye page zao...sema Tanzania sisi ni kutong***zana na kufanya vitu visivyo na msingi....
 
Mtoa mada unashida ya kumanage mult- tasks hivyo hiyo ni weakness yako na si sababu ya mitandao ya kijamii kama whatsapp
 
Habarini ndugu!

Nina miezi miwili nimeachana na matumizi ya smartphone,al-mahsusi hizi app za whatsapp na instagram.

Nataka niwashirikishe watanzania wenzangu uzoefu wangu huu wa miezi miwili, nadhani inaweza kuwasaidia baadhi ya watu!

Pamoja na faida chache au nyingi za mitandao hii,nilikuja kugundua hizi app hasa whatsapp ilikuwa inanipotezea sana muda na kuniharibia concentration kwenye mambo ya msingi zaidi katika utafutaji hivyo kupunguza uzalishaji, na kupunguza kasi ya kufikiri!

Baada ya kuachana na matumizi haya ya whatsapp/smartphone nimejikuta nimekuwa effective sana kwenye kazi zangu kwa maana ya kuutumia vizuri muda wangu,napata muda wa kutosha kusoma vitabu,kufikiri,ku meditate nk,
Uwezo wangu wa kukumbuka umeongezeka, imagine, kwa sasa nikiangalia namba yoyote ya simu mara moja tu inakaa kichwani tofauti na kipindi cha nyuma.

Stress zimepungua,nimefakiwa kupunguza stress za aina mbalimbali ambazo zinasabishwa na chatting nyingi zisizo za msingi au picha na video za ajabuajabu,zimebaki stress za kusaka hela tu.

Mahusiano yameimarika;mahusino na watu wangu hayajatetereka tena, kwa sababu hatuwasiliani mara kwa mara hivyo hakuna makwazo yanayotokana na kuwasiliana mara kwa mara
Akiri imekuwa focused zaidi na kazi

Concentration kwenye kazi imeongezeka sana na kuondoa blockage za sms za whatsapp zinazoingia masaa 24.

Hizo ni baadhi tu, kuna nayaona matokeo makubwa zaidi baadae.

Hofu yangu,

Tunatengeneza taifa la mashabiki na watu wasioweza kufikiri tukiendekeza hili, watu wanachati tu hata wakiwa maofisini, tena wanachat umbeaumbea tu,mpira,ajali,picha za uchi nk

Taifa linaangamia,nani atalizuia au kulisemea hili, ni kitu chenye impact kubwa sana in the long run.

Taifa linaongeza watu wavivu,watu wenye tabia mbovu,wambea,walalamikaji nk.. where are we heading as a nation?

Tutegemee thinkers wachache sana baadae.

Najua wale addicts watapinga sana hili, lakini huu ndo ukweli mchungu.

Tafari..chukua hatua.
Pumba zote hizi ulizoandika nilidhani utahitiimisha kwa kutuwekea picha hata ya Escudo kwamba umefanikiwa kununuwa baada ya kuokowa muda wako kule wasapu.

For ur information ni kwamba wewe ni sawa na mtu aliyeacha kuvuta sigara na kujisifu wakati huohuo anabwia unga, sasa sijui which is which?

Maana ninavyofamu mimi JF na mateja wa unga hawachekani wote ni addicted.
 
Kama ulikuwa unatumia kuangalia umbea Instagram na kuchat kwenye magroup ya kijinga kama 8 ivi, bora umeacha ila wengine bila smart phone na hizo Apps kazi zinasimama kiasi kwamba ukiibiwa unakuwa umeibiwa kifaa cha ofisi.
Ila ushauri wako mzu
 
Back
Top Bottom