fredmlay
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,849
- 388
Enzi na enzi ipi hiyo wakati ni miaka michache tu iliyopita mapori yalizunguka kamji ka dar es salaam? Karne moja iliyopita kigamboni hakukuwa na mji labda makazi (kijiji) sasa hilo lako linatia shakaMji mweama hapajawahi kuwa pori, labda unaomgelea karne mbili zilizopita?Huko ndipo anapokaa Mzee Aboud Jumbe na kulikuwa kuna mashamba toka enzi na enzi au mashamba kikwenu ni pori?