Nimefatilia jana uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma naona hayati Magufuli hakutendewa haki.
Mimi ni miongoni mwa watu ambao sio waumuni wa Magufuli hata kidogo sikufurahishwa na utendaji wake akiwa Rais hata kidogo lakini Katika hotuba za viongozi jana na watumbuizaji walivokua wanafanya kama walikua wanalikanyaga jina lake yaani ni kama kwenye ujenzi ule hakufanya kitu.
Wote tunakubaliana na ni fact kwamba Magufuli ndie alitia msukumo mkubwa wa kujenga ikulu na serikal nzima kuhamia dodoma kwa vitendo
Nilitegemea jana Magufuli angepewa sifa saana lakini hakupewa maua yake anayostahili huwezi kusema kuelezea Ikulu ya dodoma na serikali kuhamia dodoma bila kumtaja Magufuli kwa ukubwa wake.
Katibu mkuu kiongozi na katibu wa Ikulu hawakumtaja kabisa bwana John Magufuli kwani kuna dhambi gani ya kumpa sifa zake?
Nilifarijika aliovoongea mzee Kikwete akamtaja John Magufuli kidogo na mama akamtaja na kumpa tuzo kidogo uchungu niliokua nao ukapoa kiasi.
Nimewaza saana haya maisha jinsi John Magufulo alivokua anapambwa akiwa hai leo jina lake watu wanaliruka sio uungwana hata kidogo
Nimetangaza intrest mwanzoni kabisa kua mimi binafsi Utendaji wake wa kazi alivovuruga vitu vingi kuminya demokrasia na ubabe wake ni vitu vilivyonifanya nisiwe muumini wake, lakini hata kama mtu tulimchukia au tunamchukia pale anapostahili haki na sifa zake tumpe.