Uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino, Hayati Magufuli hakutendewa haki

kiroka

JF-Expert Member
Feb 28, 2018
355
1,856
Nimefatilia jana uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma naona hayati Magufuli hakutendewa haki.

Mimi ni miongoni mwa watu ambao sio waumuni wa Magufuli hata kidogo sikufurahishwa na utendaji wake akiwa Rais hata kidogo lakini Katika hotuba za viongozi jana na watumbuizaji walivokua wanafanya kama walikua wanalikanyaga jina lake yaani ni kama kwenye ujenzi ule hakufanya kitu.

Wote tunakubaliana na ni fact kwamba Magufuli ndie alitia msukumo mkubwa wa kujenga ikulu na serikal nzima kuhamia dodoma kwa vitendo

Nilitegemea jana Magufuli angepewa sifa saana lakini hakupewa maua yake anayostahili huwezi kusema kuelezea Ikulu ya dodoma na serikali kuhamia dodoma bila kumtaja Magufuli kwa ukubwa wake.

Katibu mkuu kiongozi na katibu wa Ikulu hawakumtaja kabisa bwana John Magufuli kwani kuna dhambi gani ya kumpa sifa zake?

Nilifarijika aliovoongea mzee Kikwete akamtaja John Magufuli kidogo na mama akamtaja na kumpa tuzo kidogo uchungu niliokua nao ukapoa kiasi.

Nimewaza saana haya maisha jinsi John Magufulo alivokua anapambwa akiwa hai leo jina lake watu wanaliruka sio uungwana hata kidogo

Nimetangaza intrest mwanzoni kabisa kua mimi binafsi Utendaji wake wa kazi alivovuruga vitu vingi kuminya demokrasia na ubabe wake ni vitu vilivyonifanya nisiwe muumini wake, lakini hata kama mtu tulimchukia au tunamchukia pale anapostahili haki na sifa zake tumpe.
 
Nimefatilia jana uzinduzi wa ikulu ya chamwino dodoma naona magufuli hakutendewa haki

Mimi ni miongoni mwa watu ambao sio waumuni wa Magufuli hata kidogo sikufurahishwa na utendaji wake akiwa raisi hata kidogo lakini

Katika hotuba za viongozi jana na watumbuizaji walivokua wanafanya kama walikua wanalikanyaga jina lake yaani ni kama kwenye ujenzi ule hakufanya kitu

Nilitegemea jana Magufuli angepewa sifa saana lakini hakupewa maua yake anayostahili huwezi kusema kuelezea ikulu ya dodoma na serikali kuhamia dodoma bila kumtaja John kwa ukubwa wake

Katibu mkuu kiongozi na katibu wa ikulu hawakumtaja kabisa bwana John kwani kuna dhambi gani ya kumpa sifa zake

Nilifarijika aliovoongea mzee Kikwete akamtaja John kidogo na mama akamtaja na kumpa tuzo kidogo uchungu niliokua nao ukapoa kiasi.

Nimewaza saana haya maisha jinsi John alivokua anapambwa akiwa hai leo jina lake watu wanaliruka sio uungwana hata kidogo

Full facts.
Mimi sio muumini wa Magufuli, lakini kumnyima heshima yake anayostahili sio sawa na sio haki.

Dikteta mnyongeni lakini heshima yake mpeni.
 
Nimefatilia jana uzinduzi wa ikulu ya chamwino dodoma naona magufuli hakutendewa haki

Mimi ni miongoni mwa watu ambao sio waumuni wa Magufuli hata kidogo sikufurahishwa na utendaji wake akiwa raisi hata kidogo lakini

Katika hotuba za viongozi jana na watumbuizaji walivokua wanafanya kama walikua wanalikanyaga jina lake yaani ni kama kwenye ujenzi ule hakufanya kitu

Wote tunakubaliana na ni fact kwamba Magufuli ndie alitia msukumo mkubwa wa kujenga ikulu na serikal nzima kuhamia dodoma kwa vitendo

Nilitegemea jana Magufuli angepewa sifa saana lakini hakupewa maua yake anayostahili huwezi kusema kuelezea ikulu ya dodoma na serikali kuhamia dodoma bila kumtaja John kwa ukubwa wake

Katibu mkuu kiongozi na katibu wa ikulu hawakumtaja kabisa bwana John kwani kuna dhambi gani ya kumpa sifa zake

Nilifarijika aliovoongea mzee Kikwete akamtaja John kidogo na mama akamtaja na kumpa tuzo kidogo uchungu niliokua nao ukapoa kiasi.

Nimewaza saana haya maisha jinsi John alivokua anapambwa akiwa hai leo jina lake watu wanaliruka sio uungwana hata kidogo

Nimetangaza intrest mwanzoni kabisa kua mimi binafsi Utendaji wake wa kazi alivovuruga vitu vingi kuminya demokrasia na ubabe wake ni vitu vilivyonifanya nisiwe muumini wake, lakini hata kama mtu tulimchukia au tunamchukia pale anapostahili haki na sifa zake tumpe.
Kama alitajwa na Rais na Rais mstaafu, inatosha sana maana hao ni wawakilishi wa nchi.

Hakuna asiyefahamu kuwa Serikali kuhamia Dodoma ilikuwa ni maamuzi ya Rais Magufuli. Lakini pia ufahamu kuwa watu hukusifu sana ukifanya jambo lililowapendeza sana. Unachotakiwa kujiuliza, ni je, hao viongozi na watendaji mbalimbali wa Serikali walifurahia na wanaendelea kufurahia kwa ofisi zao kuhamia Dodoma? Wale ambao kila weekend wapo Dar unadhani watamsifia aliyewafanya waende wasikokutaka?

Marehemu mwenyewe alifahamu kuwa wengi hawapendi kwenda Dodoma, na akasema kuwa wanapitisha sheria itakayozui hata akija kiongozi mwingine asiweze tena kuhamisha makao makuu ya Serikali kutoka Dodoma.

Licha ya kwamba uamuzi wa kuifanya Dodoma kuwa mji mkuu wa Serikali ulifanyika mwaka 1971, lakini utekelezaji wake ulikumbwa na vizuizi vingi, mojawapo ni Dodoma kuwa kwenye bonde la ufa, ina maana ipo kwenye deep rooted geological structure ambayo inaweza kutumika kama conduit ya waves zinazosababisha earthquakes. Na ndiyo maana kwa miaka mingi, kulikuwa na sheria inayozuia kujenga majengo marefu Dodoma. Sababu hiyo, huenda na nyingine, zilizuia Serikali kuhamia rasmi Dodoma. Na wengine wengi ndani ya Serikali wanaamini kulistahili kuwepo na mjadala mpana juu ya kuhamia Dodoma (na ninaamini kama huo mjadala ungekuwepo, Serikali isingehamia Dodoma).

Maadam sasa tayari Serikali imehamia Dodoma, kunatakiwa kuwa na sheria thabiti zinazozuia msongamano wa majengo. Majengo yakibanana, na hasa yakawepo majengo marefu, kukiwa na tetemeko la ardhi, maafa huwa ni makubwa kupindukia. Ukiwa ndani ya jengo utalaliwa na kifusi cha hilo jengo, ukitoka nje utaangukiwa na majengo jirani, huwi na kwa kukimbilia.
 
"Wote" hamkuwa waumini wa Magufuli lakini mnamuunga mkono.How?Kuvuta na kusukuma kwa wakati mmoja inawezekanaje?Sympathies?Vibweka.
 
Hahaha ndo maana wamemfunika kumbe
 
Nimefatilia jana uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma naona hayati Magufuli hakutendewa haki.

Mimi ni miongoni mwa watu ambao sio waumuni wa Magufuli hata kidogo sikufurahishwa na utendaji wake akiwa Rais hata kidogo lakini Katika hotuba za viongozi jana na watumbuizaji walivokua wanafanya kama walikua wanalikanyaga jina lake yaani ni kama kwenye ujenzi ule hakufanya kitu.

Wote tunakubaliana na ni fact kwamba Magufuli ndie alitia msukumo mkubwa wa kujenga ikulu na serikal nzima kuhamia dodoma kwa vitendo

Nilitegemea jana Magufuli angepewa sifa saana lakini hakupewa maua yake anayostahili huwezi kusema kuelezea Ikulu ya dodoma na serikali kuhamia dodoma bila kumtaja Magufuli kwa ukubwa wake.

Katibu mkuu kiongozi na katibu wa Ikulu hawakumtaja kabisa bwana John Magufuli kwani kuna dhambi gani ya kumpa sifa zake?

Nilifarijika aliovoongea mzee Kikwete akamtaja John Magufuli kidogo na mama akamtaja na kumpa tuzo kidogo uchungu niliokua nao ukapoa kiasi.

Nimewaza saana haya maisha jinsi John Magufulo alivokua anapambwa akiwa hai leo jina lake watu wanaliruka sio uungwana hata kidogo

Nimetangaza intrest mwanzoni kabisa kua mimi binafsi Utendaji wake wa kazi alivovuruga vitu vingi kuminya demokrasia na ubabe wake ni vitu vilivyonifanya nisiwe muumini wake, lakini hata kama mtu tulimchukia au tunamchukia pale anapostahili haki na sifa zake tumpe.

Pumbavu!!
 
Hujanielewa, hujielewi na hutoelewa, mmi sikubalian na utendaj wake lkn yale aliyoyatenda yasemwe kama yeye ndio aliyetenda shida nini hpo
Umeanza kwa kunitolea hitimisho.Sasa hapo mwisho unaniuliza kipi tena?Hukukubaliana na utendaji wake halafu unataka aliyoyatenda yasemwe kama aliyatenda!Unajinasa makofi na kujiliza mwenyewe.🤔
 
Nimefatilia jana uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma naona hayati Magufuli hakutendewa haki.

Mimi ni miongoni mwa watu ambao sio waumuni wa Magufuli hata kidogo sikufurahishwa na utendaji wake akiwa Rais hata kidogo lakini Katika hotuba za viongozi jana na watumbuizaji walivokua wanafanya kama walikua wanalikanyaga jina lake yaani ni kama kwenye ujenzi ule hakufanya kitu.

Wote tunakubaliana na ni fact kwamba Magufuli ndie alitia msukumo mkubwa wa kujenga ikulu na serikal nzima kuhamia dodoma kwa vitendo

Nilitegemea jana Magufuli angepewa sifa saana lakini hakupewa maua yake anayostahili huwezi kusema kuelezea Ikulu ya dodoma na serikali kuhamia dodoma bila kumtaja Magufuli kwa ukubwa wake.

Katibu mkuu kiongozi na katibu wa Ikulu hawakumtaja kabisa bwana John Magufuli kwani kuna dhambi gani ya kumpa sifa zake?

Nilifarijika aliovoongea mzee Kikwete akamtaja John Magufuli kidogo na mama akamtaja na kumpa tuzo kidogo uchungu niliokua nao ukapoa kiasi.

Nimewaza saana haya maisha jinsi John Magufulo alivokua anapambwa akiwa hai leo jina lake watu wanaliruka sio uungwana hata kidogo

Nimetangaza intrest mwanzoni kabisa kua mimi binafsi Utendaji wake wa kazi alivovuruga vitu vingi kuminya demokrasia na ubabe wake ni vitu vilivyonifanya nisiwe muumini wake, lakini hata kama mtu tulimchukia au tunamchukia pale anapostahili haki na sifa zake tumpe.
Haki gani ulitaka atendewe marehemu? Hizi nyuzi zenu ndiyo zinachochea huyo marehemu wenu atwezwe hapa jukwaani.
 
Ulitaka atendewe haki ipi na kapewa tuzo "post humous".
 
wanajua fika mwenye nyumba na mjomba na vitoto vya mjomba ,hawataki kuona sifa zinamuendea JP ,na ndio maana hawakutaka kutana jina lake.makosa sio yao mkuu,kila mtu anatetea ugali wa watt.
 
Back
Top Bottom