Uzi unaohusu mapishi ya uyoga

Akili Pesa

JF-Expert Member
Jun 18, 2014
616
854
Wadau habari?

Naomba kujua namna nzuri ya kuandaa UYOGA maan ni kitu ninachotamani sana kujua maandalizi yake ya upishi hasa uyoga ambao umechumwa kutoka shambani sio wa kukaushwa.

Mwenye kuweza kutoa darasa nasubiri kutoka kwenu wakufunzi. Hata maandalizi ya supu yake tu itasaidia kujua.
 
Uzi mzuri huu

Moja ya mboga naweza kula hata mchemsho wake ni uyoga...
Upishi mmojawapo ni kama vile unavyopika nyama,unaweza kuwa roast ama michuzi
 
Wadau habari?

Naomba kujua namna nzuri ya kuandaa UYOGA maan ni kitu ninachotamani sana kujua maandalizi yake ya upishi hasa uyoga ambao umechumwa kutoka shambani sio wa kukaushwa.

Mwenye kuweza kutoa darasa nasubiri kutoka kwenu wakufunzi. Hata maandalizi ya supu yake tu itasaidia kujua.

Osha uyoga wako vizuri sana kuondoa mchanga wote
Kisha katakata vipande kwa size uitakayo, weka pembeni

Baada ya hapo andaa kama unavyotaka kutengeneza rosti ya nyama au samaki.
Weka mafuta
Tia kitunguu
Weka nyanya
(bamia, bilinganya, hoho,nyanya chungu nk)

Kisha weka uyoga wako kwenye rosti lako kama dk 5 hivi itakua tayari kwa kuliwa
 
Back
Top Bottom