Uzi Maalumu: Wapiga picha za Simu (Phone Camera)

Picha zote ni Smartphone kaka sema nashindwa kukuthibitishia kuwa ni sm kama una njia ya kufanya hilo nambie nikutumie
Hizi picha mbili siamini kama zimepigwa na Smart Phone, hapa umetudanganya, Mkuu..

Ni very powerful len yenye uwezo wa KU zoom na kupiga picha kama hizi, Smart Phone haiwezi..
 
Chek hizo
IMG_20200209_084727.jpeg
IMG_20200209_084141.jpeg
IMG_20200209_075413.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom