Melki the Storyteller
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,712
- 9,791
Uzi huu utumike kama tiba ya ugonjwa wa mawazo au kwa ajili ya kurejesha normal state ya mtu aliye bored, msemo wa yule binti anakwambia yuko board
Umekutana na reply inayovunja mbavu kwenye uzi wowote ule? Weka hapa tucheke wote
Replies zitakazomfanya member aangue kicheko mpaka wanadaladala wote wageuze shingo, weka hapa N.B Namiliki V8
Replies zote zitakazomfanya member aangue kicheko mbele ya mkewe au mumewe mpaka ndoa ife, weka hapa