Alovera Poli ni dawa ya kurudisha kumbukumbuku Kwa mtu anayesahau mara Kwa mara lenyewe ni kubwa ivi afu ukilitafuna ni litamu si chungu kama haya ya kupandwa nikirudi kijijini nitapiga picha matumizi yake unalitafuna lenyewe likiwa bichi kipande kidogo

Mbili dawa ya kutibu mkanda jeshi au Kwa jina jingine unaitwa moto wa Mungu haya hadi niwe napicha pia manaa jina sjajui ila nikiyaona nayafahamu ni majani ambayo Huwa yanapenda kuota katikati ya mti au vichaka Yana vimajani vyembamba unachukua unatwanga unpaka sehemu ambayo imeathirika
Ukileta picha yake nitag mkuu
 
Mkuu, Hilo nililichukua porini na kutokana na kujua umuhimu wake nikaliotesha nyumbani. Ninayo mashina yake takriban 4 na yanasitawi vizuri tu. Huwa nakula kama sehemu ya chakula kama unavyokula matunda.
Mim linisadia sana Hilo niliumwa hadi nikawa napoteza kumbukumbuku mzee aliyekua ananitibia alivyogundua nasahau sana akawa ananipeleka porini kwenda kulitafuna hadi Leo kumbukumbuku zilirudi sababu ya Hilo dude ndio maana Huwa silisahau kirahisi
 
Hivi huu sio ule mti unaotoa madude tunayatumia km madodoki ya kuogea?
Mti au mmea unaotoa madodoki ya kuogea shina lake ni kama kamba -unatambaa au ukiwezeshwa unaweza kujishikiza na kutambalia kwenye mti au wigo. Ni mti unaotambaa mfano wa boga au tango pori. Lakini myegea (Kigellia africana) ni mti mkubwa kuukata ni lazima shoka au panga. Tunda lake lina ugumu fulani na haliwezi kutumika kuogea mkuu. Wengine wanalitumia tunda hilo kutengenezea pombe.
 
Chukua Bicarbonate of soda (baking soda) kijiko kimoja kisha changanyana glas ya maji kunywa. Utapona.

Kama hapo hamna chukua majivu koroga kwenye glasi kunywa itakusadia. Majivu na Bicarbonate of soda ni Base. You know what happens when Acid collide with Base.

Pole kwa kuumwa Favourisyourname
Kama anaweza kupata magadi ya asili yatamsaidia sana.
 
Mim linisadia sana Hilo niliumwa hadi nikawa napoteza kumbukumbuku mzee aliyekua ananitibia alivyogundua nasahau sana akawa ananipeleka porini kwenda kulitafuna hadi Leo kumbukumbuku zilirudi sababu ya Hilo dude ndio maana Huwa silisahau kirahisi
Mkuu kwahy unalitafuta Mara ngapi?
 
Mkuu kwahy unalitafuta Mara ngapi?
Mim nilkua natafuna randomly ila nakumbuka nilitumia kama week mbili au moja ivi ndio nikawa sawa nilikua natafuna kipande kidogo Kila badaa ya mda mfrani usilitafune lolote Kwa mara moja unakaa masaa kazaa unamega kipande ,hadi unalimaliza lote ukiona hujakaa sawa unatafta jingine hadi urudishe kumbukumbuku zako
 
Mkuu pole sana aisee, fanya maamuzi magumu ndugu. Ukiamua utaweza amini hivyo kaka.
Inawezekana kweli kaka ila inahitaji kujiepusha sana na makundi ya wenzio wanaotumia vitu hivyo.sasa mtihani unaanza pale wenzangu na mm tunajulika sana kaka
 
Unga wa msamitu hii ni dawa Kwa ajili ya kuimarisha mishipa ya uume iliyolegea kutokana na sababu mbalimbali either iwe kujichua n.k namna ya kutumia unga wa msamitu unachukua unga wa msamitu kiasi unachanganya na mafuta ya mgando dheni unapaka Kweny uume Kwa siku kumi na nne na kuendelea wanashauri wakati unatumia jiepusheshe na kujichua na kufanya mapenzi ili dawa iweze kufanya kazi vizuri na utumie kiasi kidogo tu ukizidisha utavuta sana mishipa ni kidogo sana .na mara moja tu Kwa siku hasa nyakati za usiku .namna ya kupata unga huu ni kweny Maduka ya kisuna hasa kariakoo ni rahisi sana kupata na bei zake Huwa ni Kwa kupima kweny kijiko kuanzia shilingi mia 500 na Kwa mfuko mzima ni shilingi 3000 au 2000 kama sjakosea na ukibatika kupata mfuko mzima unaweza kutumia hadi miaka minne manaa ni mwingi sana angalizo hii si dawa ya kuongeza nguvu za kiume ni dawa ya kuimarisha misuli iliyolegea hii dawa ni nzuri Kwa wale ambao mashine imesima hata hajazamisha mzigo ngoma inanywea kwahyo yenyewe inanaenda kufanya mishipa iwe na nguvu ili kuweza kuruhusu damu ipite kweny uume na kufanya uume uwe ngangali angalizo la pili huu sio mkongo Wala vixy lotion huu ni unga wa msamitu ni tofauti kabisa na mkongo mtu asije kuchanganya mafaili huu haupigi ganzi Bali unaimarisha misuli ya uume ili kuweza kuruhusu damu kuflow Kwa wingi kweny uume kuhusiana na bei ni hiyo nimetaja asije mtu akakuibia akakwambia ni 10000 sijui 20000 hapana bei zake ni 500,1000 Kwa kijiko na 3000 Kwa 5000 Kwa mfuko Kwa mlio dar kaliakoo ndio rahisi zaidi kupata na Kwa wale wa mikoani tafuteni watu mnao wafahamu wataftie kkoo watumie maana ni bei ndogo sana wa buku tu mtu unaweza kutumia hata miezi kumi au mwaka

Picha yake ni huo apo chiniView attachment 2309499
 
Mkuu, Tunaomba tupe baadhi ya aina za mafuta ya mgando yanayofaa e.g. yatokanayo na wanyama e.g. samli n.k. au yale ya dukani e.g. vaseline n.k. Asante kwa ku-share.
 
Tiba ya kusikia kichefuchefu kila baada ya mida flani kinarudi tafadhali comments ziwe fupifupi mimi ni Me😁
Kunywa chai ya tangawizi kali + kipande kidogo cha limau mara kwa mara na pia wakati wa kula Penda kula polepole Saga vizuri chakula mdomoni.
 
Mkuu @binnun Crocodiletooth

Msaada jinsi gan naweza kuisafisha pesa iliyofungwa isizalishe...yaan iko hiv kuna ndugu yangu anafanya kazi kwa tajiri fulan sema yule tajiri kaifunga hela yake kiasi kwamba hawezi kufanyia biashara yoyote au akifanya ataishia kupata hasara na hela ikamalizika yote..hata akitafuta mtaji sehem nyingine akiweka kwenye biashara akichanganya na ile tu bas inaisha yote

N.B MSHAHARA LAZIMA WAPEWE KWENYE BAHASHA...NA HAWAPEWI SIKU YA JUMATATU
 
Back
Top Bottom