Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Jamani kuna wimbo nilikuwa nausikia niliusikia miaka ya nyuma kidogo, sikumbuki ni kwaya gani iliimba.baadhi ya mistari yake ukitanguliwa na gitaa,

Angalieni mimi nawatuma, katikati ya mbwa mwitu.

Nanyi iweni wenye busara, na wapole kama njiwa.

Jihadharini na wanadaam, kwa maana watawapeleka mabarazani na katika masinagogi yao na kiwapiga vita.
 
Mkuu,ukitaka kurukaruka ili utoke jasho,we sikiliza hizi New School Gospel Hits and Hitters:Rose Muhando and her likes!Ila Ukitaka Kutuliza Moyo na Roho Yako,na Kuwa Karibu na Uwepo wa Mungu Sikiliza Nyimbo Tunazoziweka Hapa!
Saafi saana hizi ndiyo nyimbo za injili ya kweli.
 
kuna mmoja Wa kisambaa hivi

"iwe zumbe ulangaila na u mvunizi wangu ..ni mwogohe ndai...hata mwe ntogho zangu zoshe niike mwe inu ishiii..mbuulingwa ya Mulungu neyenishikiza....."

naomba mwenye nayo aniweke au 0688 990 975 whatsAp
 
kuna mmoja Wa kisambaa hivi

"iwe zumbe ulangaila na u mvunizi wangu ..ni mwogohe ndai...hata mwe ntogho zangu zoshe niike mwe inu ishiii..mbuulingwa ya Mulungu neyenishikiza....."

naomba mwenye nayo aniweke au 0688 990 975 whatsAp
Jina la Kwaya?
 
Tangu siku uzi huu umeanza hadi leo bado natafuta nyimbo za kwaya ya kinondoni Victoria singers album ya television ya maisha. Na pia naioth prophet singers wimbo : angukia mikononi mwa bwana
 
Back
Top Bottom