uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,406
- 3,595
Usipopata karibu tabata Kinyerezi.vyumba viwili .sebule.jiko.choo na bafu.150000 kwa mwenzi
Usipopata karibu tabata Kinyerezi.vyumba viwili .sebule.jiko.choo na bafu.150000 kwa mwenzi
bado ipo hii mkuu?Kuna moja nimeipata kimara terminal ya mwendo kasi, unaingia ndani kama dakka 7, ila nimeishndwa choo cha nje, wife amekataa, anataka choo cha mumo kwa mumo... vipi nikuunge na jamaa??
bado ipo mkuu??kuna nyumba iko kimara temboni ina choo ndani vyumba viwili sebule jiko nk bei ni 200000kwa mwezi kwa maelezo zaidi 0718090892
kituo gan ukipanda daladala?Nyumba inapangishwa tabata Kinyerezi.vyumba viwili.sebule.jiko choo na bafu.kodi 150000 kwa mwenzi
Kituo kinaitwa kona.Ina fensi.Luku ya kujitegemea kwa kila mtu .mita ya maji ya kujitegemea.maji yapo 24hours.karibu sanakituo gan ukipanda daladala?
imeshapata mtu mkuubado ipo hii mkuu?
Wap mkuu na sh.ngapiChumba na sebule goba kipo bei chee.
IPO Kimara kodi 300000Habari wana JAMII natafuta nyumba ya kujitegemea yenye vyumba vi3 choo bafu na jiko! Mimi niko chanika daresalamu!
Sehem gani!?IPO Kimara kodi 300000
MwishoSehem gani!?
Nataka niiame ni nzuri sanaSehem gani!?
Mi niko mbezi nataka nihamie chanika!Nataka niiame ni nzuri sana
Nikitoka majumba sita nashukia WAP?Nyumba inapangishwa Kinyerezi.vyumba viwili.sebule.Jiko .choo na bafu..150000 kwa mwenzi.Ina fensi .maji masaa 24..