Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

Kama unahitaji nyumba ya kupanga bia usumbufu na kwa gharama nafuu mkoani Morogoro

Wasiliana nasi:
Munyu Real Estate Agency
Jengo la Pamba
Ofisi namba 16
Morogoro,Tanzania.

Facebook:Munyu Real Estate Agency

Instagram:Munyurealestateagency

Karibuni sana
Nitakuona mkuu,,,, nipo Moro
 
Kwa wale wote wenye nyumba za kupangisha tafadhali tuweke taarifa zetu hapa.

Na wale wanaotafuta nyumba za kupanga tuweke taarifa za nyumba tunazotaka hapa.

Maana madalali ni stressful.

Karibuni
Nahitaji nyumba vyumba viwili kimoja master sebule jiko maeneo ya kinondoni nyumba isiwe mbali na barabara iwe na maji miezi sita
 
nafasi yangu mimi kama dalali iko palepale, kwa wapangishaji na wapangaji mi ni kiungo muhimu kwenu, kwa mpangaji, mimi ndie wa kukupa taarifa muhimu kuhusu mwenye nyumba na nyumba unayotaka kupanga

kwa wahitaji wa kigamboni na maeneo jirani Piga 07182 95 182

Bango
 
Mi nahitaji vyumba viwili yaani chumba na sebule na chumba kiwe Master. Pia usalama uwepo na parking ya gari. Maji yawe ya uhakika. Umeme usimuunganishe mwenye nyumba. Eneo ni Buhongwa Mwanza na Geita mjini.
 
NYUMBA INAPANGISHWA KIBAMBA!!!!
Ina:-
Sebule kubwa,jiko,dinning,choo cha public,vyumba vitatu(kimoja master).
Maji yapo mda wote,matenki ya kuhifadhia maji yapo (lt 5000×2).
Tiles,gypsum,alluminium window.
Fence na parking kubwa yenye kutosha gari nne.
Kodi 400000 kwa mwezi
Mkataba wa awali miezi sita.
*karibuni*
 
Na huku tena Mpo,nyie ndio mnasababisha maisha mjini yapande kwa tamaa zenu

Wivu wa kike.
Ukijiona unatumia Miguvu mingi kupata Mafanikio badala ya Akili, Mawili:
Ufahamu wako (Elimu/Ujuzi) juu ya Maisha ni Mdogo na haukusaidii ipasavyo.

Mara nyingi inapelekea Chuki, Wivu, Husda na Dharau za kijinga zisizo na kichwa wala miguu kwa wengine.

Ni kaugonjwa. Poleni ee!

UJUMBE:
Pigania Maisha yako.
Au tena, Zidisha vita dhidi ya Maisha ya mwenzako kama kufanya hivyo itakuletea Mkate Mezani kwako.
 
Sio nyumba tu hata viwanja Na flemu biashara Pia ninasimamia mimi kama dalali , umachotakiwa kifanya unataka nikutafutie mteja nipe taarifa au tuma picha kwa namba hii 07182 95 182
 
Natafuta vyumba viwili tegeta umeme iwe juu yangu usiwe Wa kushare.yoyote Mwenye clue anitaarifu
 
kuna nyumba iko kimara temboni ina choo ndani vyumba viwili sebule jiko nk bei ni 200000kwa mwezi kwa maelezo zaidi 0718090892
 
Natafuta nyumba yakupanga maeneo ya KILUVYA KWA KOMBA au KIBAMBA NJIA PANDA YA SHULE iwe na Chumba kimoja Self , Sebule na Jiko.
Ndani Gypsum,Feni,Umeme wakujitegemea na iwepo sehemu ya Parking ya Gari ndogo
 
Back
Top Bottom