Black Bolt
JF-Expert Member
- Jun 5, 2021
- 257
- 415
Habari wapenzi wa movie, ni mwaka mwengine wa 2023 kuna movie mbalimbali kali zinategemewa kutoka huu mwaka kwa wapenzi wa movie huu mwaka ni wamoto sana
Mwaka 2022 zimetoka movie kali sana asilimia 90 ya movie zilizotoka mwaka jana hasa zile maarufu nimefanikiwa kuziangalia kwasababu nimekuwa na access ya kutosha ya vifaa na internet nimepakua movie zaidi ya 200 na kuziangalia member mbalimbali wa jamiiforums niefanikiwa kuonana nao na kuwawekea movie.
Uzi huu nitakuwa nitakuwa naelezea zile movie ambazo nitafanikiwa kuziangalia kwa mwaka huu 2023 hili wadau mbalimbali wa movie waweze kupata motisha ya kutazama movie hizo, mpaka kufikia sasa nimefanikiwa kupakua movie 10 zilizotoka hii january nyingi zilizotoka hii january ni HORROR MOVIE (zenye mahadhi ya kutisha) mpaka sasa nimefanikiwa kuangalia movie moja kati ya hizo naanza na hii movie hii nitaielezea kwa upana hilitufungue uzi twende pamoja…
MEGAN
Genre: Horror and Sci-Fi Movie
Movie inahusu mdada mmoja anayeitwa Gamma ambaye ni Robot Engineer katika kampuni kubwa ya teknolojia, mdada huyu ana Niece wake ambaye anaitwa Cady ambaye wazazi wake wamefariki katika ajari siku za karibuni basi Cady anakuwa hayupo kisaikolojia na anakuwa mpweke hivyo inamalazimu Gamma kutumia muda wake kukaa na huyu mtoto ambapo muda huo inabidi amalizie project kubwa waliyonayo kwa kipindi hiko project ambayo yeye ndiye injinia mkuu katika team yao
Hii project inahusu kutengeneza robot ambayo inatumika kama mdoli kwa watoto nyumbani, robot hili linabidi kutengenezwa kwa teknolojia kubwa hili robot kuwa na uwezo mkubwa wa kufanya response kama binadamu kwa kilakitu, team hii inafanikiwa kutengeneza robot huyu (mdoli) wanamwite MEGAN, Megan bado yupo hatua ya PROTOTYPE (yaani bado yupo kwenye majaribio), Megan anakuwa na uwezo kama binadamu kwa 100% mpaka CEO hakuamini Gemma anamuweka Cady kama ndiye first user wa robot huyu hili kutatua tataizo la upweke basi Cady anakuwa na hili suala linafanikiwa kwa kihasi kikubwa maana Megan anakuwa hana tufauti na binadamu anamsimamia kazi za nyumbani, shule, anamuimbia akilala, anampa kampani wanacheza yaani anafanya kilakitu na Cady mpaka mtoto huyu anatengeneza mapenzi zaidi kwa Megan kuzidi Gemma hapo ndipo tatizo linapoanzia
Tatizo sio hilo tuila huyu roboto Megan anakuwa na uwezo wa kiakili zaidi kuliko hata waliomuwekea mainjia inafika hatua anakuwa na uwezo mkubwa sana jinsi ya kuyaangalia mbambo na ubaya zaidi unakuja anakuwa na emotional zaidi ya binadamu suala ambalo linamfanya kuchukua hatua ya kuuwa yeyote yule ambaye atamfanyia uovu mtoto Cady ataanza kuuwa mbwa wa jirani atakuja mwenye mbwa, atakuja kuuwa mwanafunzi shuleni, mpaka atafika kuwauwa mainjia wote wa kampuni mpaka CEO haya yote kipindi yanaanza kutoke Gemma hakujua kama Megan ndie anayesababisha haya mauaji maana muaji haya yanafanywa kwa kutumia akili sana bila kuacha uashahidi
Bottom
Director amekuwa na uwezo mkubwa kuweka teknolojia na maudhui ya hooro kwa pamoa maana ndani kuna mambo ya Artificial Intelligece, Machine learning, robotics na Coding mwisho ameonesha side effect kupitia plot za horror yaani robot ni source tu ya Meagan kuweza kufanya yote ila mauji anayofanya Megan hauwi kama wanavyouwa robot kama terminator au cyborg nk mauaji yametengenezwa yawe na mahadhi ya horror
Nitaelezea movie nyenginezo leo