LOOOK
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,389
- 672
umemsahau padri slaa
Huyu padri anasalisha parokia gani!!?? Sababu kila siku tuma sikia padri ,padri mtuambie basi anasalisha kanisa gani.
umemsahau padri slaa
Yuko mzee mmoja Tanzania tajiri sana asie na wajukuu mwenye kupenda dogodogo mwenye kumiliki vyombo........ akisikia hii habari jioni anakodi ndege na kwenda kuinunua hata kama haijaingia sokoni. nimtaje nisimtaje ?
Baada ya kufanya majaribio kadhaa yenye mafanikio kwa kuwawekea panya wazee damu ya panya wadogo, na hali ya uzee kuondoka, wamerekani wako tayari muda wowote kuanzia sasa kufanya majaribio hayo kwa binadamu. chanzo; BBC
Sasa kama wana uwezo huo. mbona dawa ya ukimwi wameshindwa kupata?
ni kumkufuru mungu tu hiyo
Kifai umechelewa wapi? Mbona biashara au organ donation ya figo, maini, ngozi, n.k ni kitu cha kawaida sana siku hizi kwenye nchi zilizoendelea? Especially kama mtu amekufa kwa ajali ya gari madaktari wanawahi kung'oa viungo kabla havijapoa. Hapo ni zaidi ya artificial transplants: metal, plastic, n.k. Anzia hapa Skin, bones and tissue for sale: How the dead are being used for grisly trade in human body parts | Mail OnlineWatutafutie na body spare parts
Watutafutie na body spare parts
Spare Parts zipo tayari, kuna moyo bandia, mikono, miguu bandia, ini na bandama bandia nk. Lakini wameshindwa kutengeza roho ya bindamu.Watutafutie na body spare parts
umemsahau Malecela.
Huyu padri anasalisha parokia gani!!?? Sababu kila siku tuma sikia padri ,padri mtuambie basi anasalisha kanisa gani.