Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Mkuu Asikwambie Mtu! Njia Salama Ni Kujiunga Na CHAPUTA tu....! Kama Unabisha Waulize Member Wake Watakujuza.
 
Wakuu habari thogh mimi ni mwanamume lakini nimeona niulize hili swali ni njia ipi ni salama isiokuwa na madhara mengi iko average to any person(mwanamke)anawezakuitumia katika uzazi wa mpango?
Njia salama,ni kumwaga mbegu za kiume nje ya uke.
 
Njia salama,ni kumwaga mbegu za kiume nje ya uke.
Wala msitake kudanganya Kua mkimwaga nje basi mko salama,labda kama ukishamwaga mwanaume uende ukakojoe otherwise ukiingia hapo hapo uwezekano wa kumpa mimba mwanamke uko pale pale
 
Wala msitake kudanganya Kua mkimwaga nje basi mko salama,labda kama ukishamwaga mwanaume uende ukakojoe otherwise ukiingia hapo hapo uwezekano wa kumpa mimba mwanamke uko pale pale
Halafu unaanzaje kumwaga utamu nje..hata Muumba hapendi..
 
Vichocheo/homoni kwenye vidonge vya uzazi wa mpango huzuia kupevuka kwa yai, hutengeneza ute mzito kwenye shingo ya mji wa mimba, hivyo huzuia mbegu za kiume zisiingie kwenye mji wa mimba.

Ni rahisi kutumia, haviingiliani na tendo la kujamiiana, hupunguza maumivu ya tumbo wakati wa hedhi & kurekebisha siku za hedhi!

Mama ataweza kuzaa tena mara atakapoachà kumeza vidonge, hupunguza uwezekano wa kupata saratani katika mji wa mimba na hupunguza uwezekano wa kutunga mimba nje ya mji wa mimba.

Chanzo; Tiba Fasta
 
Wakuu, naombeni ushauri, nahtaji kupanga uzazi, kutumia njia za uzazi wa mpango, njia ipi ni sahihi kutumia.....

Declaration of interest; Calender method, withdrwa method zilishanishnda,

Naomba ushauli kwa njia zngne za uzazi wa mpango. Asanteni.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Umemshirikisha mwenzi wako?
Baadhi ya Imani zinakataza njia za kisasa na kushauri njia za asili kama vile.

Calendar method
Billing ovulation method
Basal body temperature
Coitus interrupt.

Enendeni Ulimwenguni mkaongezeke na kuijaza dunia
 
Nmemshirikisha....

Sijakuelewa katika maelezo hayo, nifafanulie zaidi.
 
tumia vijiti mamaaa, kuna vya miaka mitatu na kuna vya mitano , ni wewe tu, hasa kama una mwili wa wastani, si mnene
 
Wakuu, naombeni ushauri, nahtaji kupanga uzazi, kutumia njia za uzazi wa mpango, njia ipi ni sahihi kutumia.....

Declaration of interest; Calender method, withdrwa method zilishanishnda,

Naomba ushauli kwa njia zngne za uzazi wa mpango. Asanteni.
Mkuu pambana nazo hizo hizo mbili hadi uizoe moja wapo kwa hizo njia nyingine sikushauri hata kidogo kwa kweli, Unaweza tumia hizo njia nyingine baada ya muda ukarudi hapa tena kuomba msaada wa kitu kingine kabisa. Kazi kwako mzee.

Note: Naongea kama shuhuda wa tatizo lililomtokea mtu wangu wa karibu.
 
Wakuu, naombeni ushauri, nahtaji kupanga uzazi, kutumia njia za uzazi wa mpango, njia ipi ni sahihi kutumia.....

Declaration of interest; Calender method, withdrwa method zilishanishnda,

Naomba ushauli kwa njia zngne za uzazi wa mpango. Asanteni.
IUD ni nzuri zaidi. (Loop)
 
Back
Top Bottom