Uzalendo uko wapi TBC1?

Kubingwa

JF-Expert Member
Apr 23, 2010
505
69
leo nilitegemea tbc1 wangeonyesha mechi kati ya gabon na tz,lakini wameweka kipindi tofauti.Basi ngoja nicheki mechi kati ya kenya na shelisheli live.SAWASAWA!
 
Wenze2 wakenya wanaönesha ya kwao na sycheles. Why tanzania? Mi naona Tanganyika irudi ndo wa2 watakua wazalendo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom