Uzalendo katka michezo uko wapi?

Exaud J. Makyao

JF-Expert Member
Nov 30, 2008
1,518
22
Mashabiki wengi wa mchezo wa mpira wa miguu katika Tanznzania na Kenya
hushabikia zaidi timu za ulaya kuliko timu za nchi zao.
Uzalendo uko wapi?
Tuzishabikie timu zetu ili kuzipatia hamasa.
 
Timu zetu zikianza kufanya vizuri mashabiki wako, kila mtu anapenda burudani inayoridhisha moyo wake, sasa timu za ulaya huleta burudani hiyo. Ukifika wakati timu zetu zikafanya vizuri watu watazishabikia, na sio kwamba timu zetu hazina mashabiki, bali kuna kukatishana tamaa.

Hata nawe unashabikia maeneo hayo hayo na umekiacha "Kiswahili", japo sisemi ni kukosa uzalendo. Angalia status yako "EXAUD J. MAKYAO is Economist".
 
MFUMWA,
Kama tutasubiri timu zetu zifanye vizuri ndo tuzishabikie,
mbona ni kinyume.Kinachohitajika ni motisha kwanza.
Hilo la lugha naona umechomekea tu.
Tuchambue uzalendo wetu katika michezo.
 
Mkuu Exaud,
post yangu ya mwanzo nimesema "na sio kwamba timu zetu hazina mashabiki, bali kuna kukatishana tamaa". Mashabiki wapo, mfano angalalia timu yetu ya Taifa ilipoanza kuonesha uhai, hamasa na watu wanaoenda kuangalia ikicheza imeongezeka. Kwa hali halisi ilivyo, watanzania wanapenda michezo, hasa mpira wa miguu. Hata kama ni mshabiki huwezi kuhamasika kwenda kuangalia timu inayofungwa kila siku, ama inayoonesha kiwango duni. Hivyo kukua kwa kiwango, kutaongeza hamasa na ushabiki.
 
Mkuu Exaud,
post yangu ya mwanzo nimesema "na sio kwamba timu zetu hazina mashabiki, bali kuna kukatishana tamaa"....................... Hivyo kukua kwa kiwango, kutaongeza hamasa na ushabiki.

Sawa bwana kama tunataka kuvuna kabla ya kupanda.
 
Back
Top Bottom