Uyoga kwa kipato, ajira na kupunguza utapiamlo

Apr 2, 2016
6
2
UYOGA ni kati ya mazao yenye faida kubwa kiuchumi na kiafya pia. Baadhi ya faida za UYOGA kiuchumi na kiafya ni kama zifuatazo:
-Kiasi kidogo sana cha fedha za uwekezaji kinahitajika,
-Fedha iliyowekezwa inaweza kurudi ndani ya muda mfupi sana,
-Masaa machache yanahitajika katika kilimo cha Uyoga,
-Hurudisha faida kwa muda mfupi kuliko mazao mengine
(mavuno ni ndani ya siku 26),
-Mkulima huendelea kuvuna kwa miezi mitatu hadi mitano,
-Haihitaji mtaji mkubwa, huchukua nafasi ndogo ya kuzalishia/kulima,
-muda wa kuhudumia shamba, wastani wa masaa 4 kwa wiki,
-Haihitaji mbolea wala madawa ya kufukuza wadudu,
Faida za Kiafya ni kama ifuatavyo:-
-Hupunguza kiwango cha rehemu mwilini,
-Huzuia saratani za aina mbalimbali,
-Huboresha kinga ya mwili dhidi ya magonjwa,
-Ni chanzo cha madini ya chuma na zinki,
-kupunguza uzito wa mwili,
-Chanzo kizuri cha Vitamini D,
-Haina mafuta yaletayo maradhi ya moyo.
 
Attachments

  • 13669100_281821735510355_2810446623828974933_n.jpg
    13669100_281821735510355_2810446623828974933_n.jpg
    38.8 KB · Views: 151

KWA MAFUNZO YA KILIMO HAI CHA UYOGA, MBEGU ZA UYOGA [ KWA GHARAMA NAFUU] NA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI NA BIASHARA wasiliana nasi kupitia:-
Mamaland Mushroom Farm(2015).
E-Mail:-Mamalandmushroomproject@gmail.com,
Phone/Watsapp:0621080300.
Twitter/Facebook/Linkedin/Google+:Mamaland mushroom farm. Blog:Mamalandmushroomproject.blogspot.com
-Fight Back Against Malnutrition,Save Lives. Mushroom is Therapy. #Mushroom_Is_Therapy.
Asante sana kwa somo hili Mimi ni moja ya watu wanaotamani sana kuanzisha shughuli hii ya uyoga lakini sijapata mwongozo. Mnapatikana wapi niwatafute
 
Tunapatikana Morogoro. Tuna mwongozo rahisi kwa wanaoanza ambao unapatikana kwa gharama ya sh.5000 tu.Karibu.
 
Attachments

  • 13669100_281821735510355_2810446623828974933_n.jpg
    13669100_281821735510355_2810446623828974933_n.jpg
    38.8 KB · Views: 134
Mimi ni mtaalamu niliyesomea kuotesha uyoga na masoko kwa zao hili liko wazi na halina mtaji mkubwa,hivyo kwa yeyote ambaye atataka tushirikiane tuanzishe zao hili na mavuno yake hayachelewi ni mwezi tu kwa maelezo zaidi ni pm.
 
Unapatikana wapi?
 
Nakuomba kea Heshima mkuu utupe maelekezo kidogo ya hichi kilimo hapa jukwaani
Kuna thread mbalimbali zilianzishwa kuulizia juu ya kilimo hichi ila hazikupata majibu.
 
Back
Top Bottom